MR TOXIC
Senior Member
- Jun 4, 2019
- 190
- 525
Umeshindwa kutambua juhudi za mama mzazi aliyekubeba tumboni kwa miezi tisa, akakuzaa na kukulea mpaka kufikia hapo leo hii unamkosea heshima kiasi hiki??Napendekeza jezi ya taifa ingewekwa nembo ya picha ya rais wa Nchi kama ishara ya kutambua juhudi za kiongozi wa awamu ya tano
Kwa akili kama hizi za kwako basi tuna mile nyingi za kwenda