Tunazungumzia rangi si timu. Mtoa hoja nanataka kwenye jezi za timu ya taifa kuwe na rangi nyekundu kwa vile ni rangi ya timu kubwa hapa nchini. Je hii ni sababu ya msingi? Azam je nao tuweke rangi yao kwenye jezi za timu ya taifa?Hapa tunazungumzia timu sio bendera.