Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
Na huko usingizin unakua unatoka kufanya nini uje uvae jezi straight?Ukitoka usingizini ukaangalia ghafla unaweza ukasema ni msalaba!
Huo mstari wa kati ungekuwa pembeni kushoto!!
4/10