Jey K kukutana na adha ya kuvuliwa gamba

Jey K kukutana na adha ya kuvuliwa gamba

abdul_eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
787
Reaction score
775
watuhumiwa wa uhujumu uchumi bado wang'ang'ania ndugu yangu mkuu wa kaya ajiunge nao kuvuliwa gamba.. Maana wanadai fedha zao za Kagoda ndio ilikuwa neeema yake yeye kuwa mwenyekiti wa chama.

Katika hali isiyo ya kawaida EL kule bungeni alibeza serikali akitaka wachukue maamuzi magumu ambayo ni kumng'oa mkuu wa kaya na kujiunga nao...
 
lowassa ana ngozi ngumu sana na inahimili sana michubuko..na jk akikosea tu kumuachia huyu jamaa awe rais haki ya mungu anampeleka segerea
 
haya ni ya kweli au mnaandika kujifurahisha! ok ngoja nisubili nione.
 
lowassa ana ngozi ngumu sana na inahimili sana michubuko..na jk akikosea tu kumuachia huyu jamaa awe rais haki ya mungu anampeleka segerea
Mh supika,naunga mkono hoja.
 
watuhumiwa wa uhujumu uchumi bado wang'ang'ania ndugu yangu mkuu wa kaya ajiunge nao kuvuliwa gamba.. Maana wanadai fedha zao za Kagoda ndio ilikuwa neeema yake yeye kuwa mwenyekiti wa chama.Katika hali isiyo ya kawaida EL kule bungeni alibeza serikali akitaka wachukue maamuzi magumu ambayo ni kumng'oa mkuu wa kaya na kujiunga nao...
Kumbe mkuu wa Kaya ni ndugu yako?!, ndo maana unabwabwaja offpoints. BTW, ni chungu lakini ni dawa- shurti imezwe: it is Lowasa for president 2015 na wewe na huyo ndugu yako mtafute haraka mlango wa kutokea.
 
watanzania wooote ni ndugu...

LEMA for 2015 Presidency
 
lowassa ana ngozi ngumu sana na inahimili sana michubuko..na jk akikosea tu kumuachia huyu jamaa awe rais haki ya mungu anampeleka segerea
ningefrah sana kumuona kwenye lile bas la kijani af akifika huko anapangwa selo moja na lyumba na babu seya!
 
Hakuna gamba zito nchini kama Jaa Kaya au Njaa Kaya mwenyewe na familia yake. Muulize mwanae alipotuhumiwa kuwa bilionea ameishia wapi zaidi ya kujamba jamba na kutokomea. Senzi sana.
 
Back
Top Bottom