Weka picha ya Jews wakiwa utumwani Misri kabla hawajakombolewa na Musa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] HakiaMungu nimecheka hahahaha Bwana Utam njoo uone eti wavyojiona wayahudi hukuShalom aleichem
We mwenyewe si mwarabu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] HakiaMungu nimecheka hahahaha Bwana Utam njoo uone eti wavyojiona wayahudi huku
hujaeleweka, ni nini ulichokiongelea kuhusiana na hizo picha??Lakini laana ya Yesu ipo palepale [emoji23]
Tatizo area of battle ingekuwa wap , kiuhalisia no possibility ya battle kat ya German na USA ingetokea ,mana hata makoloni yao yalikuwa far away , unless Germany kama angeamua kutanua Pacific kitu ambacho Japan alikuwa anakifanya , na Japan alikuwa mshirika wa Germany na ndicho kilicholeta battle crash kat ya USA na Japan , .... Intervention ya USA against Germany totally ilikuwa to help England and to cutoff Germany supply for Japan....Ila Germany ni hatari wazee mimi naona wangepambana bila kuwa na allies yaani nchi moja tu ipambane na nchi nyingine mfano Germany against U.S sidhani kama U.S angekuwa Superpower saa hii.
Hivi maana ya tamko "Shalom" ni nini na ni lugha gani hii ?Shalom Israel 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱