Jewish owned banks

Jewish owned banks

Nahitaji uelewa zaidi juu ya umiliki wa mabenk, vingine sikubali , Hasa kwenye nchi za kiislam
 
Naona wewew ni muislamu unaumia sana sema ndo hivyo huna la kufanya.

Anyway mimi hoja yangu ni waisrael ni wabaguzi sana basi.

Ndugu Big gift kwa kuwa penye wengi haliharibiki neno.
Ubaguzi wao ukoje. Kwa muhtsari?
 
Watanzania na waafrica wamekuwa watumwa wa kifikira juu ya wayahudi watu wanaleta mpaka takwimu za uongo ili tu kuwapamba hv toka lini centro bank ya nchi ikamilikiwa na raia??? tena wa Taifa jingine? jamani acheni akili zenu zifanye kazi japo kidogo msikubali kukopesha akili mlizopewa bure na mungu kwa watu wengine wafikirie juu yenu
 
we mgeni na matukio ya duniani. Tembea uone mengi.
 
Nasema hivyo kwasababu hao wayaudi hawawezi kumiliki benki zote hizo
Why unafikiri haiwezekani?

Familia ya Rothschild utajili wake ni Trillion of Dollar ambapo hamna wa Kuwagusa... Pesa zao zinarecord ya kusambazwa kwa watu waliowatrain vizuri hata wewe kama akili zako zinacharge vizuri hawasiti kukuchukua yaani wanakusponsa Shule unasoma vizuri hadi unamaliza wanakupa kazi kwenye kampuni zao vyovyote kwa jinsi walivyokutrain Unawezeshwa kila kitu... hata unaweza kuwa Tajiri mkubwa wa nchini kwako popote pale but hizo mali faida yake asilimia kubwa wanachukua wao... Hawa jamaa waligundua njia za uchumi kitambo sana ndio watu wengine wanajitahidi kuiga hata hapa Tz wengine wamefanikiwa kwa kufuata njia zao Unakuta mtu kama Mengi ana makampuni chungu nzima but ukifuatilia utakuta ana shere kadhaa tu but yeye ndie Mtendaji mkuu.. Trust me.. Jaribu kufuatilia hawa Jamaa utanielewa... Kuna siku nilitaka kuweka thread ya Hii familia kwa Jinsi ilivyokuwa inataka kuitawala Dunia bila wananchi kutambua kwa jinsi walivyokwama sehemu na sehemu ikiwepo Urusi... na hadi Sasa Urusi inawindwa ikizubaa tu inaliwa tena.... Thread niliitranslate karibu robo tatu ni ndefu sana nilisikia uvivu kuimalizia ila one day nikitulia nitaimalizia na kuipost humu...

Hawa Jamaa ni Wayahudi waliotokea Huko Georgia Lugha yao iliitwa Yiddish japo yasemekana Uyahudi wao ni ule wa Kubadilisha Dini na sio wa Asilia lakini Business ni Nature Yao Bank ndio walioanzisha wao,Mikopo ni wao n.k n.k

Hizo Bank umiliki wao ni kuzicontroll kwa jinsi wanavyotaka na ukileta kiburi wanakuyumbisha mara moja hawana mchezo kabisa... na penalty yao ni kubwa sana kukusimamisha upya...

Kuna Mipango Mingi au vita ya kuwashinda hawa jamaa but wana mikono kila kona... Hao Brics sijui walitaka kujitenga IMF ni mali yao hawakwepeki wengine wakaanza Digital Money nao wakaingia tena Zaidi hadi wakamiliki... yaani hawachezi Mbali maana kama Magu anavyosema Pesa zipo tu
 
Ndugu Vipi kuhusu club za mpira domination ya wayahudi ipoje uko.
Chelsea wanafaidi tu kutoka kwa Abramovic na Manchester United ndio inamilikiwa na Wayahudi pure..

Wayahudi kwenye issue zozote za Pesa hawakosekani... Watu wakitaka kuwaudhi Wayahudi huwaita wapenda Pesa... Just like Wachaga.. Fuatilia kisa cha Baloteli yule Black mcheza mpira aliyelelewa na Wazazi wayahudi Nchini Italia.
 
Mkuu umenikumbsha maumivu, naumisa sana kuskia hili jina linatamkwa. Ila walibya hii damu itawatafuna tuu vizaz na vizaz
Mkuu hilo la kusema Walibya damu itawatafuna hilo kiasi siwezi kulikubali.. Kuna matwakwa tu ya Hao wayahudi yakitimizwa Nchi itarejea tu Stable.. na sio kwamba Gaddafi alikuwa mtu poa kivile la hasha sema ubabe wake ndio uliweza kuwacontrol Waarabu maana Jamii hizo hazitaki mtu rege rege same na Somalia tu... Kuna watu walienjoy kwa Gaddafi na kuna watu waliteseka kwa Gaddafi Huyo Jamaa alipewa Offer zote aondoke Libya ili nchi iwekwe equal kimaisha maana maisha ya Libya yalikuwa ni ya kitabaka Kabila la Gaddafi walikuwa ni level ya juu na makabila engine yalifuata na hiyo ilikuwa haina kificho waliokuwa wakipa kelele walipotea msee wangu.... historia ipo wazi na wala haijajificha wala kufutwa..

Pia Gaddafi aliingia madarakani kwa Mapinduzi inamaana angeshindwa angeuwawa au kupata kesi ya Uhaini na aliua so ndio hivyo Ukiuwa kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga... Mapinduzi ya Libya ni sawa na ya Zanzibar yaliyozaa CCM ila kule kimaisha mmmh wacha ninyamaze...
 
Sio kweli
Weka Nyama basi maneno yako tuone Point yako tuamini... Aina yako ya Kukataa ni kama ndani kwako mtoto kanya wewe badala ya kuzoa ukayatupe chooni au ukayafukie ardhini unaishia kutema Mate tu... so Harufu utaendelea kuipata tu...
 
Mkuu yawezekana machafuko yanaytokea huko ni ya mda tuu baada ya mato na marekani na hao wayahudi walioenea kila eneo kupata matakwa yao amani itarejea ila yule jamaa alikua na mapenzi mema na nchi yake bwana kama tuu kagame na rwanda yake.

Ni kweli ubabe unahitajika ili kuisimmamisha nchi.

Aliingia madarakani kwa mapinduzi ndio ila hakuua watu. labda kama mfalme wenyewe alipata kipigo ila nitaangalia hili.
 
Weka Nyama basi maneno yako tuone Point yako tuamini... Aina yako ya Kukataa ni kama ndani kwako mtoto kanya wewe badala ya kuzoa ukayatupe chooni au ukayafukie ardhini unaishia kutema Mate tu... so Harufu utaendelea kuipata tu...
ndo mijitu ilivo mkuu inajikuta inajua halafu haiweki habari za kweli kuuweka ukweli wenyewe. naichukia sana.
 
we mgeni na matukio ya duniani. Tembea uone mengi.
Unaweza kuniita mgeni kwa vile hapa JF hatujuani na kumejificha nyuma ya keybord au keypad lakini nataka kukwambia mm nawajua vizuri si kwa kuwasoma kama ambavyo wengi wanajua kwa kusoma nataka kukwambia rabda ujui maana ya centro bank na kazi zake pia unatakiwa kujua hakuna vitu vinavyopotosha watu dunian kama vyombo vya habari na wasanii vyombo ving vya habari hawa jamaa wanaushawshi navyo nataka kukwambia kuwa ni mi mwisrael mmoja tu ndo yupo kwenye biashara hii ya mambo ya banks ni familia ya Rothschild na hawa si kwamba wanamiliki bank bali wanamiliki mfumo unaoendesha bank nying dunian so kama leo ukiwapa max malipo kupitia mfumo wake ndo akawa anakusanya kodi je utasema TRA ni mali ya max malipo???
 
Yaani wamiliki bank kuu ya Urusi???!!! Putin will never allow this to happen..
 
Nathaniel Rothchild
Investments[ edit]
In 2000, The Observerwrote that, in addition to Rothschild's then declared inheritance of £500million, his actual inheritance "hidden in a series of trusts in Switzerland is rumored to be worth £40bn". [7]ViaNR Investments Ltd., his principal investment company, Nathaniel Rothschild was a cornerstone investor in the United Company Rusal initial public offering in January 2010. At the same time Rothschild bought $40million of Glencorebonds convertible into shares upon an IPO. [8]
Also Rothschild'sNR Investments Ltd.is the largest shareholder (26.5% End December 2009) of Volex, a Manchester-based electrical cable maker. Furthermore, Nathaniel Rothschild owns an 11% share in BR Properties, a Brazilian property company, and has an interest in various property developments in Eastern Europe ( Montenegro, Romaniaand Ukraine).
In July 2010, Vallar Plc, a Jersey-incorporated investment vehicle founded by Nathaniel Rothschild, raised £707.2 million ($1.07 billion) in an Initial public offeringon the London Stock Exchange. Vallar is led by Rothschild and James Campbell, a former Anglo American PLCcoal and base metalschief.
In November 2010, Vallar announced it was buying stakes for $3bn in two listed Indonesia thermal coal (used for power stations) producers for a combination of cash and new Vallar shares, with a view to combining them to create the largest exporter of thermal coal to China, India, and the other emerging economies of Asia. The transaction closed as planned on 8 April 2011 [9]and Vallar plc was renamed Bumi plcin the same month. [10]
In September 2012 the investigation of possible financial irregularities in its Indonesian arm resulted in a 14% fall in its share price. [11]and the much-delayed financial results for 2012 showed a $200m black hole. [12]It was also reported in 2013 that Rosan Roeslani, a former director of the company, had stolen $173 million from it. [13]
In December 2013 the company changed its name to Asia Resource Minerals. [14]In June 2015, following a series of disputes with his co-investors, Rothschild abandoned his investment in the company, selling his 17.2 percent stake in the company to Coal Energy Ventures. [15]
In June 2011, Rothschild and Tony Hayward, the former chief executive of BP plc, listed a successor vehicle to Vallar called Vallares (LSE: VLRS) on the London Stock Exchange, raising $2.2 billion. Essentially, this was identical in every respect to the first vehicle, which was metals and mining focused, except that the new entity would acquire oil & gas assets. [16]In September 2011, Vallares announced a 50/50 all stock merger with Turkish Energy Champion Genel Energy, valued at $4.2billion. [17]
In 2011,The Sunday Timesestimated his personal fortune to be $1.6billion and Forbes listed his wealth in 2012 at $1.0 billion. [18]A 2016 Sunday Times Rich List list indicated a personal fortune of £100 million. [19] [20]
 
Rothchild connection with gadaf
Personal life[ edit]
In 1994, he married socialite and model Annabelle Neilson; they divorced in 1997. [21]In August 2016, Rothschild married Loretta Basey, a former page 3The Suntopless model, in Switzerland. [22] [23]Rothschild lived for a time in New York before settling in Switzerland in 2000, and according to the Swiss business magazineBilanz, he is a resident of Klostersin Graubünden.
The racehorse Nathaniel, winner of the 2011 King George VI and Queen Elizabeth Stakes, was bred and owned by Rothschild's mother and is named after him.
Controversies[ edit]
In October 2008, he was the subject of much press speculation when it was revealed that Labourpolitician Peter Mandelsonand the Russian businessman Oleg Deripaskahad met when staying on a yachtmoored near Corfu, in order to attend a party held by Rothschild. [24]After speculation that this might constitute a conflict of interest for Mandelson, Rothschild wrote a letter to The Timesalleging that another guest was ConservativeShadow-Chancellor George Osborne, who, Rothschild claimed, illicitly tried to solicit a donation from the Russian for his party. [25]
Rothschild has been linked to the son of former Libyan leader Muammar Gaddafi, Saif al-Islam Gaddafi. [26]
In February 2012 he lost his libel case with the Daily Mailwho had accused him of being a "puppet master" in reporting about his foreign trips with Peter Mandelson.

Wikipedia
 
Why unafikiri haiwezekani?

Familia ya Rothschild utajili wake ni Trillion of Dollar ambapo hamna wa Kuwagusa... Pesa zao zinarecord ya kusambazwa kwa watu waliowatrain vizuri hata wewe kama akili zako zinacharge vizuri hawasiti kukuchukua yaani wanakusponsa Shule unasoma vizuri hadi unamaliza wanakupa kazi kwenye kampuni zao vyovyote kwa jinsi walivyokutrain Unawezeshwa kila kitu... hata unaweza kuwa Tajiri mkubwa wa nchini kwako popote pale but hizo mali faida yake asilimia kubwa wanachukua wao... Hawa jamaa waligundua njia za uchumi kitambo sana ndio watu wengine wanajitahidi kuiga hata hapa Tz wengine wamefanikiwa kwa kufuata njia zao Unakuta mtu kama Mengi ana makampuni chungu nzima but ukifuatilia utakuta ana shere kadhaa tu but yeye ndie Mtendaji mkuu.. Trust me.. Jaribu kufuatilia hawa Jamaa utanielewa... Kuna siku nilitaka kuweka thread ya Hii familia kwa Jinsi ilivyokuwa inataka kuitawala Dunia bila wananchi kutambua kwa jinsi walivyokwama sehemu na sehemu ikiwepo Urusi... na hadi Sasa Urusi inawindwa ikizubaa tu inaliwa tena.... Thread niliitranslate karibu robo tatu ni ndefu sana nilisikia uvivu kuimalizia ila one day nikitulia nitaimalizia na kuipost humu...

Hawa Jamaa ni Wayahudi waliotokea Huko Georgia Lugha yao iliitwa Yiddish japo yasemekana Uyahudi wao ni ule wa Kubadilisha Dini na sio wa Asilia lakini Business ni Nature Yao Bank ndio walioanzisha wao,Mikopo ni wao n.k n.k

Hizo Bank umiliki wao ni kuzicontroll kwa jinsi wanavyotaka na ukileta kiburi wanakuyumbisha mara moja hawana mchezo kabisa... na penalty yao ni kubwa sana kukusimamisha upya...

Kuna Mipango Mingi au vita ya kuwashinda hawa jamaa but wana mikono kila kona... Hao Brics sijui walitaka kujitenga IMF ni mali yao hawakwepeki wengine wakaanza Digital Money nao wakaingia tena Zaidi hadi wakamiliki... yaani hawachezi Mbali maana kama Magu anavyosema Pesa zipo tu

Uliwafuatilia kwa njia gani mkuu?

Internet? Unaamini kila kinachoandikwa kwenye internet?

Hadi sasa hujanipa any 'tangible' ushahidi kuwa BoT inamilikiwa na hao watu.

Zaidi ya kunipa hypothesis na conspiracy theories tu.

Nioneshe hata documents zilizosainiwa kuonesha kuwa BoT na central banks nyingine ni zao.
 
Aaaaand the kicker iiiis,
so kumbe gadaf was a jew according to Veteran Today.

Qaddafi the Jew, the Rothschilds & the Mossad
by Chris Bollyn
During a discussion on Israel Radio they just dropped this little tidbit. There is a Jew left in Libya. His name is Muammar Gadhafi.– “You won’t believe this…Gadhafi’s mother was Jewish”
[image], 22 February 2011
Of his early life little is known, and even less is certain. He was born, it is said, in Sirte, a desert town, the son of a goatherd. Other versions suggest that his real father may have been French, and his mother Jewish.
– “Colonel Gaddafi is turning into a mellow megolamaniac”
[image](comments), The Telegraph, 13 June 2009
Colonel Gaddafi’s close ties to the Rothschild family and the Mossad make complete sense when we consider the fact that he is a Jew, the son of a Jewish mother, according to a report aired on Israeli television. How much oil money has the brutal Libyan dictator secretly stashed away in Israeli banks?
 
Siamini kwani nimesoma baadhi ya mabenki wala hazimilikiwi na Jews

Ungesema wanamiliki baadhi labda lakini kuorodhesha dunia nzima mmh I doubt.

Kweli wanamiliki biashara nyingi duniani na wana share katika mashirika makubwa.
Labda amekosea
 
Back
Top Bottom