Mahaba yamemfanya mleta uzi awafagilie sana wazayuni ili kutuaminisha kwamba wanamiliki uchumi wa dunia; bila hata kutuwekea source ya uhakika yq andiko lake tofauti la WIKIPEDIA ambayo yeyote anaweza kuihariri apendavyo ili afikie malengo yake. Wazayuni kuwemo kwenye nafasi mbalimbali za uongozi huko Amerika siyo jambo la ajabu; Amerika ni mkusanyiko wa watu wa mataifa mbalimbali duniani wakiwemo wazayuni na mataifa mengine yote duniani. Kama kuna kitu wazayuni wanatamani ni kulifuta taifa la wapalestina na waarabu kwa ujumla; kakini pamoja na usaidizi wa marekani na mataifa mengine rafiki ya ulaya hasa yaliyomo katika NATO, hawajaweza kuwaangamiza waarabu. Hilo halitawezekana kwa mapenzi yao bali kwa mapenzi ya Mungu wakati ukifika.
Mkuu watu like you me sina shida nao sana katika Maisha hivyo Amini au Usiamini is up to you.... kama huamini Internet basi huamini pia watu unaochat nao kama ni real human pia... yaelekea unachukulia kila kitu kishabiki na sio reality... Elimu humfikia mtu akiamini itamsaidia na kama haoni umuhimu wowote anaachana nayo... huitaji ku avange just ignore tu watakao amini watachunguza wao na wasio amini poa.Uliwafuatilia kwa njia gani mkuu?
Internet? Unaamini kila kinachoandikwa kwenye internet?
Hadi sasa hujanipa any 'tangible' ushahidi kuwa BoT inamilikiwa na hao watu.
Zaidi ya kunipa hypothesis na conspiracy theories tu.
Nioneshe hata documents zilizosainiwa kuonesha kuwa BoT na central banks nyingine ni zao.
Pia Kumbuka Gaddafi nae ni Myahudi tu sababu Mama yake alikuwa Myahudi so alikuwa na haki ya kupokelewa Israel kama angeamua kwenda maana haki ya Right to return vigezo alikuwa navyo.... alipewa offer nyingi za kuishi nchi yeyote yeye familia yake na mali zake aondoke kwa Amani ili nchi isitumbukie kwenye vita yaani aachie power Transition ifanyike vizuri akasema Nimezaliwa Libya na Nitafia Libya Siachii Madaraka....just like Saddam Hussein. Ndio Maana kiania simkubali vizuri Gaddafi kwa Hilo tu la Kukataa Offer maana kama Mimi ningesepa Fasta... Venezuela walikubali kumpa Hifadhi akadinda mbaya..Mkuu yawezekana machafuko yanaytokea huko ni ya mda tuu baada ya mato na marekani na hao wayahudi walioenea kila eneo kupata matakwa yao amani itarejea ila yule jamaa alikua na mapenzi mema na nchi yake bwana kama tuu kagame na rwanda yake.
Ni kweli ubabe unahitajika ili kuisimmamisha nchi.
Aliingia madarakani kwa mapinduzi ndio ila hakuua watu. labda kama mfalme wenyewe alipata kipigo ila nitaangalia hili.
Ndo uzalendo huo mkuu. Mimi napenda watu wa namna hiyo.Pia Kumbuka Gaddafi nae ni Myahudi tu sababu Mama yake alikuwa Myahudi so alikuwa na haki ya kupokelewa Israel kama angeamua kwenda maana haki ya Right to return vigezo alikuwa navyo.... alipewa offer nyingi za kuishi nchi yeyote yeye familia yake na mali zake aondoke kwa Amani ili nchi isitumbukie kwenye vita yaani aachie power Transition ifanyike vizuri akasema Nimezaliwa Libya na Nitafia Libya Siachii Madaraka....just like Saddam Hussein. Ndio Maana kiania simkubali vizuri Gaddafi kwa Hilo tu la Kukataa Offer maana kama Mimi ningesepa Fasta... Venezuela walikubali kumpa Hifadhi akadinda mbaya..
Unajua maana ya nchi kuwa na central Bank na vigezo vyake au mnaaka na kudanganya tu hiyo Israel mnayohisifia kutwa kucha ni burendo mijitu ilivo mkuu inajikuta inajua halafu haiweki habari za kweli kuuweka ukweli wenyewe. naichukia sana.
Mkuu watu like you me sina shida nao sana katika Maisha hivyo Amini au Usiamini is up to you.... kama huamini Internet basi huamini pia watu unaochat nao kama ni real human pia... yaelekea unachukulia kila kitu kishabiki na sio reality... Elimu humfikia mtu akiamini itamsaidia na kama haoni umuhimu wowote anaachana nayo... huitaji ku avange just ignore tu watakao amini watachunguza wao na wasio amini poa.
Ndo ulete hoja zako za kweli tuzidadavue basi.Unajua maana ya nchi kuwa na central Bank na vigezo vyake au mnaaka na kudanganya tu hiyo Israel mnayohisifia kutwa kucha ni bure
Mimi sitaki unipende ninaposema sio kweli iangaishe akili yako kwanini fulani kapinga?
Ukishadaiwa na IMF jua ya kuwa unamilikiwa na Jews! Rothschild. That's why waona wanamiliki zote hizo coz wanawadai. Na ndio wanachotaka nchi zote duniani ziwe na Deni IMFNa BOT hiyo siyo kweli, BOT inamilikiwa na serikali ya jamuhuri muungano wa Tanzania
Yes na wao ndio watakaoangusha dola wakiamuaNaelea sasa maneno ambayo the China man was whispering into my ears,kwamba it is only Israel which can start ww3. They have got the crystal. If they scratch it,they can cause financial collapse.