Jewish owned banks

Jewish owned banks

What message are you trying to convey or rather what exactly is your point?
Does it really matter whether Jews own everything and every where?
These guys are hard working and resilient in their undertaking of any nature.
You seem to be toxic and full of hidden ANTI SEMETISM hatred.
It is CRIMINAL and we do not need that in Tanzania.
We love them!
Just cool your heels!

Je ni ujumbe upi unaotaka kutueleza? Hata kama Waisrael ama Wayahudi watakuwa na mali kila sehemu kuna UBAYA gani?
Jamaa hawa hufanya kazii kwa bidii na si wavivu.
Yaonekana mada yako ina muelekeo wa CHUKI dhidi ya Jews na hiyo ni HATIA kubwa ya jinai kimataifa! HATUTAKI!!
 
Mahaba yamemfanya mleta uzi awafagilie sana wazayuni ili kutuaminisha kwamba wanamiliki uchumi wa dunia; bila hata kutuwekea source ya uhakika yq andiko lake tofauti la WIKIPEDIA ambayo yeyote anaweza kuihariri apendavyo ili afikie malengo yake. Wazayuni kuwemo kwenye nafasi mbalimbali za uongozi huko Amerika siyo jambo la ajabu; Amerika ni mkusanyiko wa watu wa mataifa mbalimbali duniani wakiwemo wazayuni na mataifa mengine yote duniani. Kama kuna kitu wazayuni wanatamani ni kulifuta taifa la wapalestina na waarabu kwa ujumla; kakini pamoja na usaidizi wa marekani na mataifa mengine rafiki ya ulaya hasa yaliyomo katika NATO, hawajaweza kuwaangamiza waarabu. Hilo halitawezekana kwa mapenzi yao bali kwa mapenzi ya Mungu wakati ukifika.

Ndugu tazama kwenye maneno yenye rangi nyekundu kwenye posting yako.
 
Sema unaweza ongea chochote ila ni ngumu kupambana na mtu mwenye programme
Kimsingi hawa watu wana programme maalum ambayo kuizuia kwa sasa sio rahisi maana inarithishwa kutoka kizazi kwenda kizazi wakati jamii zingine hazina programme ya nini zinataka kila kitu ni one man show akitoka huyo one man hadi aje mwingine si leo
 
Mahaba yamemfanya mleta uzi awafagilie sana wazayuni ili kutuaminisha kwamba wanamiliki uchumi wa dunia; bila hata kutuwekea source ya uhakika yq andiko lake tofauti la WIKIPEDIA ambayo yeyote anaweza kuihariri apendavyo ili afikie malengo yake. Wazayuni kuwemo kwenye nafasi mbalimbali za uongozi huko Amerika siyo jambo la ajabu; Amerika ni mkusanyiko wa watu wa mataifa mbalimbali duniani wakiwemo wazayuni na mataifa mengine yote duniani. Kama kuna kitu wazayuni wanatamani ni kulifuta taifa la wapalestina na waarabu kwa ujumla; kakini pamoja na usaidizi wa marekani na mataifa mengine rafiki ya ulaya hasa yaliyomo katika NATO, hawajaweza kuwaangamiza waarabu. Hilo halitawezekana kwa mapenzi yao bali kwa mapenzi ya Mungu wakati ukifika.
pia usisahau kwamba ndoto kubwa ya waarabu, waturuki na wairan ni kuliangamiza taifa la israel, hao pia hawataweza, ni ndoto za mchana hizo
 
Nadhani kwa mikopo ya Sovereign Bonds utakuta karibu 90% ya vihela vya BOT wanadaiwa,so kimahesabu wanamilikiwa tu na hakuna namna ya kujitoa
This is Totally an Ice berg.. You can't measure its depth or width by mare eyes.. Let's see
 
What message are you trying to convey or rather what exactly is your point?
Does it really matter whether Jews own everything and every where?
These guys are hard working and resilient in their undertaking of any nature.
You seem to be toxic and full of hidden ANTI SEMETISM hatred.
It is CRIMINAL and we do not need that in Tanzania.
We love them!
Just cool your heels!

Je ni ujumbe upi unaotaka kutueleza? Hata kama Waisrael ama Wayahudi watakuwa na mali kila sehemu kuna UBAYA gani?
Jamaa hawa hufanya kazii kwa bidii na si wavivu.
Yaonekana mada yako ina muelekeo wa CHUKI dhidi ya Jews na hiyo ni HATIA kubwa ya jinai kimataifa! HATUTAKI!!
A wapi mtu ukishakua mbaguzi hata ufanyacho ni kwaajili yako tuu
 
Na BOT hiyo siyo kweli, BOT inamilikiwa na serikali ya jamuhuri muungano wa Tanzania
Asante nilitaka kumtwanga same question anatupelekapeka katuona maboya

Riksbank ya Sweden sio ya jewish na National bank of Denmark sio ya jewish

National Bank of Denmark

Situated in Copenhagen Denmark, the National Bank of Denmark (otherwise known as Danmarks Nationalbank or just Nationalbanken) is, as the name suggests, the central bank of Denmark. Although Denmark is now a member of the European Union, it is one of the few central banks not to employ the Euro currency, preferring to continue to issue its Danish Krone notes and coins. It is however still a member of the European System of Central Banks and works alongside other European countries in order to provide synergetic financial stability across Denmark and Europe through the banking sector.

By the ruling of King Frederick VI, Denmark’s national banking system was first put in to action on August 1, 1818 as a private institution and was given sole responsibility for issuing currency and controlling the money supply. By 1914 the bank had become governmentally controlled, before becoming fully independent in 1936 as a traditional central bank.

Unlike other European countries that are rather limited in regards to monetary policy because of the Euro, the National Bank of Denmark has full responsibility for its own monetary policy, with their main aim being to ensure the stability of their Krone currency. They do however look for a good conversion with the Euro to help promote trade.

Structurally the banking system employs a Chairman of the Board by Royal appointment, followed by two other governors and then a board of directors. The Chairman (Nils Bernstein, as of 2005) is active in European matters and joins meetings with other European member countries, although policies on the Euro do not overtly apply to Denmark.

The National Bank of Denmark’s main priorities include playing a key role in overseeing the country’s payment systems, to promote the efficient and effective use of the commercial banking system, to keep prices stable, to ensure the safety of payments and the system as a whole and to keep stability
 
Ndugu Vipi kuhusu club za mpira domination ya wayahudi ipoje uko.
 
Nilikua nakuheshimu ila heshima itabakia palepale kwa sababu labda uelewa wako mdogo so nisifanye kosa kukasirika bure.

Ahsante mkuu kwa kunielewa!
Najua ungetaka tuingie mjadala wa Wapalestina na Waisraeli na mambo ya {PURPOTEDLY occupied lands!!} {ZINAZODHANIWA KUKALIWA KIMABAVU}.
Hata hivyo ni vizuri tuliache tu kama lilivyo.
Maana swala la hizi jamii mbili Wapalestina na Waisraeli ni ZITO.
Tukianza hatutamaliza litajaza kurasa nyingi sana.
Ama ma unasemaje ndugu yangu?
 
Naona wewew ni muislamu unaumia sana sema ndo hivyo huna la kufanya.

Anyway mimi hoja yangu ni waisrael ni wabaguzi sana basi.
 
Hawa jamaa ni gifted sana. Waarabu ndio wanawajua vizuri.
 
Back
Top Bottom