Jeuri vs kusudi

Kiongozi hapo kazi kweli kweli,Mwenye ukuta mpya ni wa geti jekundu au mwenye uwanja mtupu?
 
Hahah hah! geti na ukuta, sijui atapitisha wapi usafiri wake. Kuna haja ya kuelewana hasa majirani.

ikishindikana ndo hivi tena, World is not fair and I won't be fair...

hatari sana.
 
Sasa mkianza hivi majirani si mtakuja kuleteana majambazi mbeleni!!!
 
Kama mtu anajenga nyumba yake lakini kuingia kwake lazima apite kwenye makazi/viwanja vya wengine, huyo huyo hata salamu basi hamna. Kushirkiana nao kwenye mambo ya kijamii hamna...lazima mbwai na iwe mbwai tu!! hahaha
 
Kuna watu akili zao mwisho wake puani
 
Muda mwingine ukishindwa kusamehe lipa kisasi tu dunia haina fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…