Jeuri mbaya

Jeuri mbaya

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,889
Reaction score
2,799
[h=3]Hii ilitokea katika daladala litokalo posta kwenda ubungo, [/h]kondakta kauliza ''manzese hapo kuna mtu anashuka?''
Dada m1 akajibu ''Tuna mitandio''.
Konda kauchuna,
kufika ubungo maziwa yule dada kafika akamwambia konda,
''Konda nashuka maziwa''
Konda akamwambia
''Kayanunulie sidiria''.
 
Hii ilitokea katika daladala litokalo posta kwenda ubungo,

kondakta kauliza ''manzese hapo kuna mtu anashuka?''
Dada m1 akajibu ''Tuna mitandio''.
Konda kauchuna,
kufika ubungo maziwa yule dada kafika akamwambia konda,
''Konda nashuka maziwa''
Konda akamwambia
''Kayanunulie sidiria''.
Ngoma droo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom