Jet link kuanza safari za dar -mwanza-kigoma-jro

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Haya tena wale wapenzi wa anga
kwa mara nyingine tena tuna kuja na nyuzi mpya..kama alivyosema mh waziri lengo ni kuhakikisha
kila mtu anaeitaji kusafiri mwanza kigoma arusha .aweze ruka muda wowote aijalishi kampuni gani
ya ndege..napenda kuwajia na goodnyuzi kampun ya ndege ya JETLINK kutoka kenya imesajiliwa jumatano iliopita kama jetlink tanzania.na itaanza safari za dar mwanza kigoma na jro..baadae kuelekea tabora
nawatakia safari njema wadau wote wa anga tusiache kupanda ndege zilizo nafuu aijalishi ya mjomba shangazi babamakubwa

See you at The Top
 
Ahsante mkuu.
Ungetuelezea na charge zao.
Halafu kuna jamaa yangu aliulizia hizo trip akatuma e mail kwa shirika moja ajabu hajajibiwa hadi sasa!
Sijui juko bongo inakuaje?
 
Hii imekaa uzuri sana.

Wakiongezeka itakuwa sawa na makampuni ya simu yananvyoshindana. Kwa ujumla usafiri wa anga Tanzania ni aghali kuliko kawaida.

Fly 540 wametukomboa angalau sasa Ts.199,000 unakwenda mwanza na kurudi, 150minutes tu!

Precision wanatangaza Ts100,000 ingawa haipatikani kwa urahisi sasa sijui ni Trade Discount tu ama vipi.
 
Tunashukuru km itakuwa hvyo. Nna hacra sn na huyu mkwere na barabara zake zilinifanya nikachelewa mazishi ya mamangu mzazi. Na hzo tiketi za precision adimu utafikiri kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom