Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Iringa CHECK POINT! Mpinga kazi unayo,naona utafukuza wote sasa!
huku ni kutafutiana visa tu...
Unataka kuuteketeza mti unaoharibu mazao yako unaamuka kukata matawi badala ya kukata shina. Hivi ukikata matawi si yatachipua mengne?