The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Utawala wa mapinduzi ushapitwa na wakati
Demokrasia ndio mpango mzima
Mkuu Inategemeana
Utawala wa mapinduzi ushapitwa na wakati
Demokrasia ndio mpango mzima
Utawala wa mapinduzi ushapitwa na wakati
Demokrasia ndio mpango mzima
Unafikiri hao wanajeshi ndio hawana uroho wa madaraka?hakunaga democrasia chini ya utawala wa waroho wa madaraka, dawa ni mapinduzi ya kijeshi tuuuu.
lini taarifa kama hizi ztakua znaihusu Tanznia???? Wish it be tommorow
hakunaga democrasia chini ya utawala wa waroho wa madaraka, dawa ni mapinduzi ya kijeshi tuuuu.