Jeshi lazingira makao makuu ya polisi Lesotho

Jeshi lazingira makao makuu ya polisi Lesotho

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267


140830081737_lesotho_army_file_photo_512x288_ap_nocredit.jpg

Jeshi la Lesotho
​

Ripoti kutoka Taifa la kusini mwa Afrika Lesotho zinasema kuwa jeshi limezingira makao makuu ya polisi na kuzuia matangazo ya radio pamoja na mtandao wa simu katika mji mkuu wa Maseru.

Shirika la habari la AFP limemnukuu waziri wa habari Thesele Maseribane akisema kuwa milio ya risasi ilisikika na kukilinganisha kisa hicho na jaribio la mapinduzi .

Uchaguzi ambao haukukamilika nchini humo miaka miwili iliopita ulisababisha kuundwa kwa serikali ya muungano isio dhabiti.

Licha ya mazungumzo ya kuleta amani mnamo mwezi Juni ,hali ya wasiwasi ilitanda huku majirani wa taifa hiilo wakionya dhidi ya mbinu yoyote isio ya kikatiba.

Taifa hilo limezungukwa na Afrika kusini na hutegemea sana jirani yake kwa mali asli pamoja na ajira.

CHANZO: BBC
 
​Lesotho's military seized control of the tiny African kingdom's police headquarters and jammed radio stations and phones in the early hours Saturday, a government minister and member of the ruling coalition told AFP.

"The armed forces, the special forces of Lesotho, have taken the headquarters of the police," Sports Minister and leader of the Basotho National Party Thesele Maseribane said, describing a possible coup attempt in the small nation located in eastern South Africa.


"At four o'clock this morning (0200GMT) they were driving around the residence of the prime minister and my residence," he said.
"There have been some gunfighting since 4 (am) up until 7 or 8.They've jammed phones, they have jammed everything," he added.
Mr Maseribane said he fled hours earlier after being warned.


"The commander said he was looking for me, the prime minister and the deputy minster to take us to the king. In our country that means a coup," he added.


He insisted Prime Minister Tom Thabane's government was still in control.


"The prime minister and myself, (we are) still the coalition government. The prime minister is still in power," he said.
Mr Thabane was "fine", he added, declining to elaborate where the prime minister was.


He said: "There's still a lot of danger. People who have arms are running around Maseru."


The government secretary was unreachable for comment.


A shaky coalition has governed the kingdom, which is entirely surrounded by South Africa, since elections two years ago.


Coalition partners patched up the fragile deal through mediators in June.
 
wapewe nchi yao hao jamaa wameshashtuka tayari
 
ni kama ka rwanda na ka burundi vilitakiwa viwe vimikoa vya tz,sema tu basi.
Hizo ni kesi tofauti, Rwanda imepakana na Uganda, Tanzania, Burundi na Democratic Republic of the Congo, Burundi imepakana na Rwanda, Tanzania, na Democratic Republic of the Congo. Ila Lesotho yote imezungukwa na nchi moja tu South Africa.
 
Nasikia hiyo nchi ina watu wabishi mno mno.Africa komeshani roho hizi
 
lini taarifa kama hizi ztakua znaihusu Tanznia???? Wish it be tommorow
 
Utawala wa mapinduzi ushapitwa na wakati
Demokrasia ndio mpango mzima
 
Back
Top Bottom