Jeshi la Wananchi JWTZ liendelee kuimarishwa

Jeshi la Wananchi JWTZ liendelee kuimarishwa

Mkuu unajua bajeti ya air defence system....?
Hapa Africa nani anayo?
Tunaweza pia kutafuta utaalam na kutengeneza wenyewe kupunguza bajeti.nchi tajiri zenyewe ulinzi ni kipaumbele sisi je?
 
Nchi gani?!!

Kwa yule mama aliyelitaka Ziwa letu lote?!!! [emoji15]

Huyo alilalamika kuwa NDANI mwake amezungukwa na "sympathizers" wetu [emoji1787][emoji1787]

Na yule "slim" mtoto wetu [emoji1787][emoji1787]
Unaweza kuwadharau lakini kumbe wenyewe wakajipanga na kununua makombora.na kuanza kurusha makombora 5000 . Tanzania inaweza kuzuia makombora 5000?
 
Tunapoteza pesa kwenye mambo mengi yasiyo na msingi, nadhani tungepunguza matumizi ya ovyo tungemudu hizo vitu maana hata malipo yake huwa ni kidogokidogo kadiri ya mtavyokubaliana.
Projects za kipigaji kama maboresho ya uwanja wa taifa, ununuzi wa ndege n.k zimechukua kiasi kubwa cha pesa ambazo zingeweza kufanya kitu kingine cha msingi.
Ulinzi wa uhakika ni jambo la msingi.
 
Wanaweza kujipanga tena na wafadhili wao wakawapa silaha za kisasa zaidi kama drones.
ISIS wamepigwa na wale wachache waliojisalimisha wako kwenye Majela katika Nchi mbali mbali.

Alshababu huko Somalia wamepigwa sana wamebaki na Vijiji viwili.

Ugaidi unaelekea ukingoni japo elimu na ajira kwa Vijana pia inahitajika.
 
Kila mtu anaona dunia imekuwa sio Sehemu salama tena na hata Tanzania haipo salama tena.Nashauri jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ liimarishwe zaidi kwa kupewa silaha za kisasa zaidi kama vifaa vya ulinzi wa anga (Air defence systems za kisasa), mamia ya ndege vita za kisasa makombora ya masafa marefu Nk.

Sidhani kama tunauwezo wa kuzuia makombora mengi kama Israel. Tuwatumie marafiki zetu kama Russia, China Nk kuchukua utaalamu, jeshi lisiwe jeshi la ovyo.
Liimarishwe zaidi ili kiweze kukusanya Sare zao mitaani

Sent from my Nokia G60 5G using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu anaona dunia imekuwa sio Sehemu salama tena na hata Tanzania haipo salama tena.Nashauri jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ liimarishwe zaidi kwa kupewa silaha za kisasa zaidi kama vifaa vya ulinzi wa anga (Air defence systems za kisasa), mamia ya ndege vita za kisasa makombora ya masafa marefu Nk.

Sidhani kama tunauwezo wa kuzuia makombora mengi kama Israel. Tuwatumie marafiki zetu kama Russia, China Nk kuchukua utaalamu, jeshi lisiwe jeshi la ovyo.
Magaidi wakiamua kutumia njia kama waliyotumia kuingia miji ya mpaksni na Gaza, tutapigwa mpaka tushike adabu,
Hili jeshi letu,wakubwa wapo bize kukusanya ukwasi kijambazi, kuna kambi ya jeshi kule dar, lugalo, fence imevunjwa, ardhi imemegwa, wana Jenga flemu za kukodisha! Kila MTU anakula kwa urefu kamba.
 
Nikiwaona maadii wanainyelea Tanzania nitawapa ushirikiano wa dhati kabisa. Maana keki ya taifa wanafaidi wachache walioko serikalini tu
Afya ya akili yako iko mashakani, wahi hospitali kabla hujavuruga familia yako.
 
Kila mtu anaona dunia imekuwa sio Sehemu salama tena na hata Tanzania haipo salama tena.Nashauri jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ liimarishwe zaidi kwa kupewa silaha za kisasa zaidi kama vifaa vya ulinzi wa anga (Air defence systems za kisasa), mamia ya ndege vita za kisasa makombora ya masafa marefu Nk.

Sidhani kama tunauwezo wa kuzuia makombora mengi kama Israel. Tuwatumie marafiki zetu kama Russia, China Nk kuchukua utaalamu, jeshi lisiwe jeshi la ovyo.
We upo wapi ,ulishaambiwa ni la sita kwa ubora , sasa shida yako nini
 
Jeshi gani hili ambalo askari wanabeba maboksi ya kura za wizi kama tulivyoona 2020. Takataka tupu
 
Back
Top Bottom