Siasa za Misri wanazijua wao hata sijui huwa wanataka nini toka enzi za kina Sadat.
du, hao ndo wanaotuanzishia mabalaa.
What if Morsy akikomaa?
Siasa za Misri wanazijua wao hata sijui huwa wanataka nini toka enzi za kina Sadat.
Na machadema yako kichwani, inawezekana.[ yaaa
What if Morsy akikomaa?
Hapana Mkuu. Jeshi au mapinduzi yoyote yakishachukua TV au radio ya taifa ina maana kuwa serikali inayopinduliwa haina tena means ya kufanya mawasiliano na ulimwengu. State house ni jina tuu, what matters ni kuteka means zote za communication.
Siasa za Misri wanazijua wao hata sijui huwa wanataka nini toka enzi za kina Sadat.
Ni kweli ila kuna mengi ya kujifunza hasa tukiiangalia katiba mpya. Pale Jeshi linapokuwa chombo huru kutoka kwenye kamba za siasa na likiwa na nidhamu huwa linapaswa kufanya kazi hii. Chanzo kikubwa ukiacha siasa za Morsi za majivuno, ni kitendo walichokifanya polisi kuuwa raia wake wenyewe?!! What a mess up!
jeshi litamvuaje madaraka rais huyo aliechaguliwa kidemokrasia?Hatimaye Rais wa Misri ndugu Mohamed Morsi amepinduliwa na jeshi la nchi hiyo,Jeshi limesitisha katiba na kumvua madaraka rais huyo,Limetangaza mwanasheria mkuu kuchukua wadhifa huo kwa muda,
source:Aljazeera,Press Tv,BBC World,DW
Hatimaye Rais wa Misri ndugu Mohamed Morsi amepinduliwa na jeshi la nchi hiyo,Jeshi limesitisha katiba na kumvua madaraka rais huyo,Limetangaza mwanasheria mkuu kuchukua wadhifa huo kwa muda,
source:Aljazeera,Press Tv,BBC World,DW
mkia wa mbuzi unapiga pale unapofikia, na uwezo wa akili yako ni mdogo uwezi kujua mambo makubwa kama haya! Kule amna kujipendekeza au kuchukua buku 7 lumumba!
Kama wewe hujui wanachokitaka wao watakuwa wanajua.
Kama sie wenyewe hata hatujui tunachokitaka nchini mwetu tutajuaje wanachotaka watu wengine kwenye nchi zao?