Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Meja Jenerali Michael Isamuyo atua Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kwa helkopta na kukagua maeneo ambayo ukuta utaanza kujengwa mara moja.

Wachimba na wananchi wa Manyara wafurahi na waahidi ushirikiano. Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite

124faf86-ba94-470c-a424-7d657ded36aa.jpg
de8fbe48-1c43-407c-8b82-2af08aff6439.jpg


21751947_1588065221236890_3181221449278602389_n.jpg
 
21688291_1016871005121933_7769327304225936776_o.jpg
Jeshi LA wananchi wa Tanzania JWTZ laanza kutekeleza maagizo ya Mh raisi Dkt John Joseph magufuri Leo mkuu wa jkt meja jenerali Michael Isamuyo atua mererani, wilaya ya simanjiro mkoani manyara kwa elicopta kukagua maeneo ambayo ukuta utanzaa kujengwa ,wananchi na wachimbaji wadogo wamefurahi na kuaidi kutoa ushirikiano.
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania limeanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kujenga ukuta katika eneo lenye madini ya Tanzanite

IMG_20170921_163358.jpg
IMG_20170921_163355.jpg
IMG_20170921_163350.jpg
IMG_20170921_163346.jpg
 
Ukiangalia ripoti ya madini ya tanzanite inaonyesha tunaibiwa through mikataba pamoja poor management,,,, issue ya madini kutoroshwa kwa njia ya za panya nikiasi kidogo sana,the main tunaibiwa through mikataba mibovu so badala yakuanza namikataba tunanza ukuta,
 
Back
Top Bottom