Jeshi la polisi Tanzania laamua kumfuata Agness Masogange Afrika Kusini...!!

Mmh!! Ila jamani hii ni Aibu kwa nchi yetu kaaaa! Nchi ngumu hii

"To know the enemy is half the victory"
 
Wala sishangai kg 150 za dawa za kulevya kupita jk air, amepitishwa twiga mzima mzima itakuwa hivyo vi kilo vichache! Swali langu ni kwamba hivi siku hizi tz kuna shamba la dawa za kulevya? Manake wengi wanaokamatwa huko nchi za nje wametokea Tanzania, kuna nini hapa?
 
lazima hao askari wakifika waombe "mchezo" halafu ndio wazime soo, hamna chochote cha maana wanaenda kukifanya huko. Uongo mtupu mzigo ni wa kwao, hawakawii kuwawekea sukari au unga wa sembe
 
Hope uliingia kama mzigo katika staili isiyo ya begi ambao ulilipiwa au kulikuwa na watu zaidi ambao walikubali kulipia over luggage. Hii hatari sana tunayoifanya kwa kutaka utajiri wa kishenzi. Natamani wangekamatwa China hawa watu
Zinedine maiti tu huwa inakauliwa kwa mionz hadi unadhan wanataka kuikausha sasa je hii ya kusema kupitisha kiasi hicho chote kisionekane ilikuwaje?? ama walihonga usikaguliwe??
 
Last edited by a moderator:
Najaribu kufikiria kilo 150...... za madawa........na kilo 150 za unga wa sembe.......kwenye gunia........hivi unaweza ficha mifuko 3 ya unga yenye kilo 50 each bila kuonekana.......au waligawa kidogo kidogo?.......na kama waligawa........huo mzigo ulikuwaje......? Mi naomba tu waozee au wafie kabisa jela.......hili janga la dawa kama halijakupata mtu huwezi kuelewa.........
Yaani nimechoka, Najaribu kuvuta picha ya JNIA particularly SA (kama walitumia hiyo) namna wanavyojifanya strictly then kilo 150 zinapita? na Mkurugenzi wa Uwanja bado yuko uraiyani anaendelea kupanda v8? Sasa sjui ndio umekuwa categorized kama cargo uliolipiwa na si personal luggage? Aah, haingii akilini kwa sie tuijuayo ndege kwa kuiona juu tu.
 
hawa policcm wanajisumbua tu kwanza ufanisi wao ni mbovu sana,halafu hakuna haja ya kwenda mpaka south na wakati biashara ipo bongo waende kwa mkuu wa kaya awape majina si aliwaambia anayo?
 
Ishu za wakubwa izo thats why hapa kwetu walipitishwa vizur bila searching yoyote,,....kufika huko kikawachachia,,....na pia kuna uwezekano walidhulumiana mmoja wapo akaamua kuwachomea,,.....!!

mwenye akili timamu,akiunganisha hizo dot,atapata jibu
1.http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/mengi-afichua-njama-za-polisi
2.http://talkbongo.blogspot.com/2013/07/ipo-siku-tanzania-itakuja-kuongozwa-na.html?m=1
 
ama walihonga usikaguliwe??
Hilo kwanza haliitaji question mark, that is a fact. Pale hata gamba la risasi likisahaulika kwa bahati mbaya katika begi litaonekana, seuse kilo 150; Ni lazima walihonga na haina shaka top mgt ya TAA pamoja "watalaam" wote wa airport wanajua.
 
Hilo kwanza haliitaji question mark, that is a fact. Pale hata gamba la risasi likisahaulika kwa bahati mbaya katika begi litaonekana, seuse kilo 150; Ni lazima walihonga na haina shaka top mgt ya TAA pamoja "watalaam" wote wa airport wanajua.

am speech less.
 
jaman TIQO pale check point walipitaje?? Na mzigo mkubwa namna hii?? Kwnza ndege zina uzito unaoruhusiwa kama luggage na sidan kama unazidi 30kg kwa mtu mmoja sasahizi 150kg kwa watu wawili walifanyeje hadi ukapita??

dada usiwe mbishi mbona twiga walipakiwa wazima wazima kwenye ndege jiulize walipakiwa airport gani ,na walikaguliwa na nani hadi wakaruhusiwa kupanda kwenye ndege alafuuuuu uko walipopelekwa ni airport gani walishushiwa na walitokea mlango up hapo airport,,,ihii ndio bongo daslaaam nenda lolihondo kuna nchi nyingine kule
 
Last edited by a moderator:
Uless nimechanganyikiwa hivi kwenye luggages huwa wanakagua kweli kikamilifu??

Technlojia ya sasa hvi imekuwa kweli kweli, someone my pach something kwenye polythene bag ambayo ni nin detechtable kwa xrays simply inagoma kupokea miozni therefore inakuwa blank tu na haipigi kelele kabisa manake haijaona kitu.

I think security zetu need to go that much further kulingana na ukuaji wa tech

The technology doesn't work this way! The technology is absolutely excellent! .but the ethics of our personnel is always at diminishing faith and hope.they have turned to be supporters and escorters to these potential killers of our future generation.
 
Kilo 150? Ni sawa na mifuko mi 3 ya cement?? Imepitishwa vipi Airport na watu wawili?? Bado haja click kichwani!
 
Wasichana hao walikamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Oliver Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania wakiwa na kilo 150 za dawa za kulevya aina ya Crystal Methamphetamine.
“Tutawapeleka askari wetu kuwahoji, tumekwishaanza uchunguzi wa hili...wote watakaohusika katika hili tutawakamata, lakini tunakwenda polepole hatua kwa hatua kuhakikisha tunawanasa wahusika sahihi,”alisema Nzowa.
Naye Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, (JNIA), Moses Malaki alieleza kushangazwa na kiasi kikubwa kupitishwa kwenye uwanja huo licha ya kuwa wapo watu wenye dhamana ya kuangalia usalama.
“Sitaki kusema tutafanya nini, lakini ninachotaka kukwambia ni kwamba uchunguzi umeanza na suala zima tumewaachia polisi na sisi tutatoa ushirikiano kwa kila hatua watakayotutaka, lazima kukomesha hili.
“Tutaangalia nani walikuwa zamu sikuhiyo,” alisema Malaki.

Source;GUMZO LA JIJI: JESHI LA POLISI TANZANIA LAAMUA KUMFUATA AGNESS MASOGANGE AFRIKA KUSINI...!!
This is not serious! Kilogram? Au gram? Ndege zilizo nyingi zinabeba mwisho kilo 46, sasa kila 150 zinahitaji special attention, kiasi cha kwamba hata mtu wa check in tu pale anahitaji kujiridhisha vya kutosha kwamba ni mzigo gani huo wa kilo 150 ambao unasafirishwa. Maana kwa vyovyote vile ulilipiwa gharama za ziada kwa kuwa ulizidi! Sasa kweli ni nani huyo aliyeweza kuidhinisha mzigo uliozidi kiasi hiki bila kuukagua? Hapa na mkurugenzi wa uwanja wa ndege mwenyewe anatakiwa kuwajibika wala siyo suala la nani alikuwa zamu hapa.
 
Ngoma anapiga mwenyewe nzowa, kucheza anacheza mwenyewe, shabiki yeye mwenyewe, kila kitu mwenyewe, sioni kama Kuna jipya hapa, nchi za wenzetu wenye uadilifu hierachy yote ya airport imeshajiweka pembeni hakuna kusubiri sarakasi za tume uchwara za uchunguzi
 
The technology doesn't work this way! The technology is absolutely excellent! .but the ethics of our personnel is always at diminishing faith and hope.they have turned to be supporters and escorters to these potential killers of our future generation.

understood!
 
Zinedine maiti tu huwa inakauliwa kwa mionz hadi unadhan wanataka kuikausha sasa je hii ya kusema kupitisha kiasi hicho chote kisionekane ilikuwaje?? ama walihonga usikaguliwe??
Nafikiri ni style zilezile zilizopitisha Twiga na wanyama wengine 126 wakiwa wazimawazima kwenye ndege pale uwanja wa ndege. Sasa utasema walikuwa hawaonekani? Mwisho wa siku anakuja kukamatwa mtu mmoja kwa geresha, halafu kesi inapotelea tu vichakani, kazi kwisha. Tukisema CCM ni janga la taifa, kuna mijitu itakuja hapa kutetea kwa nguvu zote.
 
Kilo 150? Ni sawa na mifuko mi 3 ya cement?? Imepitishwa vipi Airport na watu wawili?? Bado haja click kichwani!

Hapo kuna deal lilichezwa........enzi za Twiga KIA......walioshitakiwa ni wale wanaofanya handling......jiulize wakubwa kwa nini hawakushitakiwa.......hii nchi bana......kama hufahamiani na mtu imekula kwako......
 
siku hizi watanzania airport za nje ni kusachiwa kama mwizi..passport letu halina thamani tena
 
jaman TIQO pale check point walipitaje?? Na mzigo mkubwa namna hii?? Kwnza ndege zina uzito unaoruhusiwa kama luggage na sidan kama unazidi 30kg kwa mtu mmoja sasahizi 150kg kwa watu wawili walifanyeje hadi ukapita??

30-60kg free kutegemea na ndege....zaidi ya hizo unalipia kwa hio kwa hao mademu wawili wanaweza kupata free luggage allowance ya 60-100kg then the rest wanalipia as excess luggage ni bei kubwa sana lakini kwa watu wa unga ni peanuts..
 
Back
Top Bottom