Jeshi la polisi, shame on you!!

Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...

Huko US na Ulaya ni kweli mauaji yanatokea lakini wahusika wanakamatwa na hatua wanachukuliwa. Pia sio serekali inayotuhumiwa tofauti na hapa. Jifunze kutofautisha mambo.
 
aliyempiga risasi Lisu anajulikana ni MMOJA TU. POLISI HAWAHUSIKI (wanatekeleza walilotumwa, hakuna uchunguzi) , BASHITE ni accomplice
 
Hivi dereva wa Lissu yuko wapi mpaka leo.?
 
Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...

Hasa kule Canada kila siku mauaji yatokea hatujasikia Waziri wao Mkuu akilaumiwa.Dr Mihogo kipindi akiuza Supermarket alishuhudia mauaji sasa sisi tunashangaa nini.

Ni wakati wa kumuunga mkono mtukufu yuleee
 
Hahaha Nyani Ngabu, unafahamu assassins ni waajiriwa wa mtu, au kikundi. Na wanaweza kuwa wafungwa wakaaletwa uraiani kuua kisha kuridi gerezani, wanaweza kuajiriwa kutoka nje ya nchi au wakawa ni wa humu humu tunaishi nao lakini unnoticed au hiding in plain sight.
Polisi hawataki kuumbuliwa wana cheza na akili zetu, wanajua tutasahau tu. Nchi hii wamewahi kupeleleza nini?! Wanatufahamu tunachemka halafu baada ya muda tunapoa. Hivyo wako kwenye kusubiri tupoe kisha tusahau, hakuna upelelezi wowote utaletwa.

Stephen Ulimboka tuliisha sahau likapita, Aliyemtolea Nape bastola tuliisha sahau likapita.
Roma Mkatoliki, tuliisha sahau likapita, na mwanafunzi wa NIT wametoa ubani wameshiriki mazishi, tumesahau limepita.
Hili la Tundu Lisu tutasahau litapita. They hope.

Polisi wanatamani tusahau lakini hamsahau. Walishasema upelelezi hauna mwisho, lakini ukweli hawapelelezi chochote.
 
Trump alishasema viongozi Wa Africa ni shitholes..hivyo tutegemee kila upuuzi kama huu. Huwezi kutaka kuua halafu eti ukaanza kuchunguza...unachunguza au unafuta nyayo?

Inadaiwa alisema hivyo???!!! Mimi nilisoma mahali kuwa anadai nchi za Afrika ni 'shitholes'
 

Mkuu tuseme ukweli kama Chadema tayari wameshaituhumu serikali na polisi pia hata wanapotaka kuwahoji key witness akiwemo Lissu na dereva wake wanaleta mizengwe unategemea nini hapo? Hata ningekuwa mimi sifanyi chochote si huna imani na mimi?? Lissu na Chadema hawanaimani na Polisi ndiyo maana hawatoi ushirikiano sasa watoe update ipi??
 
Mbona hicho hujafuta??

Mkuu ni kwamba unasanifu watu ama? Kwa hiyo siku zote ulikuwa unatetea hapa ukimaanisha polisi wako kwenye uchunguzi? wanachunguza wanaubavu huo? wao wako kudhibiti wapinzani wakiandamana na sio wakishambuliwa au kuuwawa. Na polisi ambaye hawezi kutekeleza haya maovu akajiajiri.
 

..kama Polisi wanaamini TL hana imani nao basi wanapaswa kushirikisha wapelelezi toka nje ya nchi ambao kila upande utakuwa na imani nao.

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…