Jeshi la polisi, shame on you!!

Jeshi la polisi, shame on you!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,150
Reaction score
137,132
Hii siyo sawa kabisa.

Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.

Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.

Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.

Hata kutaja person of interest hakuna! Kutaka suspect hakuna!

Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?

Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?

Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.

Ajabu kabisa!!!
 
Kwaio unajitoa ufahamu kwamba haujui nani aliehusika? Hilo tukio halina tofauti ya tukio lililopelekea mwanafunzi kupigwa risasi siku kadhaa hapo nyuma kisha kiongozi mmoja kusema wafanye uchunguzi...hakutakua na ripoti ya aina yoyote ile
 
Hii siyo sawa kabisa.

Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.

Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.

Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.

Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?

Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.

Ajabu kabisa!!!
Nimeandika nikafuta,
Nikaandika tena nikafuta,

Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
 
Ingekuwa hivyo Marekani na Uingereza kila baada ya miaka minne wana recruit wafanyakazi wapya wenye uanachama wa chama tawala kwa wakati huo.
 
Hii siyo sawa kabisa.

Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.

Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.

Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.

Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?

Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.

Ajabu kabisa!!!

Endelea kusubiri utapata updates siku si nyingi. Tena matokeo ya uchunguzi wa tukio la kushambuliwa kwa Lissu yatatangazwa na Amiri Jeshi Mkuu wenyewe na matangazo yatakuwa mubashara kutokea viwanja vya ikulu.
 
Juzi kauwawa katibu wa CHADEMA,Hananasif
Jana kacharangwa mapanga na mashoka katibu wa CHADEMA Kilombero hadi kufa.
Kama ilivyokuwa kwa Lissu na Mawazo hakuna atakaye kamwatwa wala kuwajibishwa
Hakuna zawadi kubashiri nani yupo nyuma ya uharamia huu.
 
Watu wenye IQ ndogo utawajua tu!....Jeshi la polisi halina hatia yeyote,wao wanatumwa tu!!.....wanaagizwa wafanye nini na wasifanye nini, simple like that!Sasa hapo kuna haja ya kuwatuhumu jeshi la polisi???!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hii siyo sawa kabisa.

Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.

Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.

Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.

Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?

Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.

Ajabu kabisa!!!
Naona Kamanda mnafiki umerudi, Ahaa kamanda muoga akiishiwa pesa yupo ccm, Naona vyuma vimekaza Kamanda karudi tena

Wewe Kamanda ni popo
 
Back
Top Bottom