Jeshi la polisi na kizungumkuti cha mil 150

Jeshi la polisi na kizungumkuti cha mil 150

Ndugu yangu Mkuu Naibili Kilichomuua hapo ni USHAHIDI AMBAO ANGETOA KUHUSU ZILIPO HIZO PESA. Maaskari wetu mara nyingi hawapo bure pale wanapopambana na majmbazi ni kwa maslahi yao. Cheza na Polichi wee!!!

hii si mara ya kwanza kwa polisi kuhusishwa na wizi kwenye matukio, mara utasiki huyu kasachiwa na polisi wakikuta chochote wanabeba
 
hii kitu nimeikuta ikijadiliwa sana leo kariakoo kwenye mabaraza ya kahawa.
nadhani polisi wanatakiwa kutoa taarifa zaidi juu ya hili tukio ili kuondoa wingu jeusi kutoka kwa raia kwa jeshi lao.

wameshajiundia tume ya kujichunguza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom