Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.
Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.
Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.
Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.
Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.