Jeshi la Polisi lazima tukio la ujambazi, wahalifu watimua na kuacha bunduki ikiwa na bendera ya CHADEMA

Huyu RPC anatafuta cheo kinguvu, na kwa ujuha wa serikali hii watampandisha cheo kwa kuhusisha chadema na ujambazi!
 
Mambosasa ameanza usanii wa kova, visu vina rangi ya bendera ya cuf, ili kuaminisha wananchi vyama vya upinzani havifai, police wanatafuta Kiki, magu wape vyeo
 
Tupate maelezo ya Wachina. Sitashangaa kusikia wamejihami wenyewe kwa kung fu zao ndio hao wezi wakatoka mbio.
 
Mambosasa ameanza usanii wa kova, visu vina rangi ya bendera ya cuf, ili kuaminisha wananchi vyama vya upinzani havifai, police wanatafuta Kiki, magu wape vyeo
Alikuwa Mahita.

Sinema ya Kova ni mkenya wa Ulimboka.
 
Wameona kununua wapinzani hakulipi sasa wamekuja na hii style mpya ambayo ni ya kipuuzi na kijinga kabisa.

Alafu wangekuwa na nia ya kuficha hiyo bunduki wangeifunga nusu nusu hivyo huku sehemu zingine zinaonekana?

Wamekosa maarifa na akili hawa watu!

Trump yuko sahihi sana!!
bunduki iliyofungwa matambara hata trigger haionekani, itatumikaje kikamikifu kwenye shambulio
 
Inasikitisha kuona Jeshi la Polisi likitumika kufanya siasa za kipuuzi namna hii. Mwaka 2005 walifanya ujinga huo huo walipofai eti wamekamata shehena ya visu vyenye rangi kama bendera ya CUF. Kumbe ilikuwa ni kukichafua tu hicho chama siku moja kabla ya uchaguzi
acha kutoa uongo km uanamini polisi hawasemi ukweli chukua hatua za kisheria dhidi yao
 
Kwani ujambazi ni siasa? au kisa umeona hiyo bendera? kwa wengine hiyo sio bendera ni kitambaa tu. Ili uite bendera ni wewe na ufahamu wako ni kama bushman alivyoishangaa chupa ya soda na wakati wewe ulimshangaa bushman kwa kushangaa.

Aidha Majambazo hayo yametimua na kutelekeza Bunduki aina ya AK-47 yenye namba 18116428 iliyokuwa imefungwa kwenye skafu yenye rangi ya nembo ya CHADEMA
 
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi katika kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania)

Aidha Majambazo hayo yametimua na kutelekeza Bunduki aina ya AK-47 yenye namba 18116428 iliyokuwa imefungwa kwenye skafu yenye rangi ya nembo ya CHADEMA pamoja na Pikipiki aina ya SANLG

Kamanda wa Polisi wa Shinyanga ACP Simon Haule akionesha pikipiki aina ya SANLG iliyotelekezwa na Majambazi hao

Kaimu Meneja Mkuu wa kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania),Bw Liu Buhua akilishukuru jeshi la polisi mkoani Shinyanga kwa kuzuia uhalifu uliotaka kufanywa na majambazi
Hao ni makada wa chama cha wasiojulikana ndiyo maana polisi hawajakamata mtu ujue huo hi mchoro wa kukichafua chama fulani.

Huko nyuma hatujasahau visu kupakwa rangi ya CUF mbinu za kijinga hizoooooooooooo
 
kama waliweza kujua kuratibiwa kwa tukio kabla ya tukio lenyewe kwa nini washindwe kuwakamata? hii inaonesha udhaifu wa jeshi la polisi.

kwa nini bunduki ihusianishe na chadema at the same time sunlg pikipiki ya kichina isihusianishwe na china?
Bunduki aina ya AK-47 yenye namba 18116428 je usajiri wake ni wamejiridhisha kuwa ni wa chadema?
 
Hii ilikuwa zamani walivyowachafua CUF kule kusini siku moja kabla ya uchaguzi mkuu, hii ni zilipendwa hatudanganyiki tena. Mbaya zaidi hv vyombo vya habari vinatumikaga vibaya. Kwa maigizo yale ya CUF ITV ilitumika vibaya na hiyo dhambi haitawaacha salama maisha yote.
 
Back
Top Bottom