Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

Halafu kwa kutaka kuyaridhisha masikio na matarajio ya waTanzania, eti majina yote yaliyotajwa ya kiislamu, something smells fishy here. Am not falling for this shit, hii ni quick cover up guys kama kawaida yao.
Probability ya kuwa majina yote ni ya kiislamu ni kubwa sana kwa vile Kibiti, Ikwiriri na maeneo mengine ya huko wengi ni waislamu...
 
Nimekuuliza hvyo nina maana yangu.MAANA YOTE NILIYOYATOA KWENYE QURAN YAPO KWENYE SAYANSI YENU.NA QURAN ILIKUWA YA KWANZA KABLA YA SAYANSI.
TAFUTA HOJA NYINGINE YA KUMKATAA MUNGU.
Quran unahumiza ugaidi na hivyo si kitabu cha Mungu.

Unakubali?
 
wangetaja na sababu hasa ya haya yote.
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani

JESHI la polisi mkoani Pwani ,limewabaini baadhi ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji wapatao kumi na mbili akiwemo mwanzilishi wa mauaji Abdurshakur Ngande Makeo .

Aidha jeshi hilo linaendelea na msako kuwatafuta watu hao ambao wanne picha zao zimepatikana .

Akizungumzia hali ya kiusalama ya Mkoa kutokana na vitendo vya mauaji vinavyoendelea katika wilaya hizo ,Kamanda wa polisi mkoani hapo,Onesmo Lyanga ,alisema wanaendelea na mapambano na upelelezi kuwapata wahusika wote .

Alieleza ,jeshi la polisi limewabaini kwa majina na picha kwa baadhi yao .

Kamanda Lyanga ,aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni

  1. Faraj Ismail Nangalava
  2. Anaf Rashid Kapera
  3. Said Ngunde
  4. Omary Abdallah Matimbwa
  5. Shaban Kinyangulia
  6. Haji Ulatule
  7. Ally Ulatule
  8. Hassan Uponda
  9. Rashid Salim Mtulula
  10. Sheikh Hassan Nasri Mzuzuri
  11. Hassan Njame

Kamanda Lyanga ,alieleza kwamba ,Saidi Ngunde inadaiwa anaishi Ikwiriri na Omar Abdallah Matimbwa anaishi Dar es salaam ambapo picha zao wanazo pamoja na ya Faraj na Anaf .

Alieleleza wengine nane bado picha zao hazijapatikana hadi sasa .

“Jeshi letu limebaini hayo kwa kushirikiana na wasiri wetu huku tukiendelea na uchunguzi zaidi ” alibainisha .

Kamanda Lyanga alisema ,watuhumiwa hao ,wamegundulika kuwa hupendelea kutembelea maeneo ya kisiwa cha Simbaulanga ,kisiwa cha Saninga kijiji cha Nchinga .

Kamanda huyo ,alifafanua kijiji kingine ni cha Mfesini kata ya Nyamisati na maeneo mbalimbali ya wilaya za Kibiti ,Rufiji na Mkuranga.

Jeshi hilo linatoa wito kwa jamii kutoa ushirikiano kwa siri kufichua watuhumiwa kwani wanahatarisha hali ya usalama kimkoa .

Limetangaza bingo ya kumpatia sh. mil .tano yeyote atakaefanikisha zoezi hilo

Hivi karibuni jeshi hilo lilitangaza kuwa kuna mtandao wa majina ya wauaji 102 ambao wanawasaka hadi sasa ili kudhibiti vitendo vya mauaji vinavyotia hofu wananchi.





d23a3356bd20fd54f8a0a75bb0b7b760.jpg

f756162d50a56ef109e6eee210179ddd.jpg
 
Polisi kwa kuiga hawajambo. Walianza kuiga rangi za baadhi ya gari zao kwa kufanya ziwe za kijani kama za Jeshi sasa wameiga hadi muundo wa uniform. Hawajiamini?
1de6c4fbece9e16bf262a87520175c99.jpg
 
Nimekuwa nafuatilia kinachoendelea kuhusu mauaji ya Pwani yaani Kibiti na Ikwiriri mpaka kuamua kufika maeneo ya matukio hayo pia lakini kuna tatizo ktk kujua kinachoendelea na hasa ukweli wenyewe.

Watu wengi sana wamekamatwa kwa mahojiano na wengine kushukiwa na mauaji lakini cha ajabu husikii wala kapata taarifa sahihi ya kwanini mauaji yanafanyika kwa Polisi na viongozi wa CCM??

Hata tarehe 21/5/3017 Jana Wazuri Mwigulu Mchemba bado amekiri kutojua sababu za mauaji na wauaji wenyewe na kusisitiza tu kuwa wanainchi wanawajua!!


Sasa sijui Jeshi letu la Polisi tumeishiwa mbinu za ziada ktk sakata hili kitu ambacho siamini kabisa najua vijana tunao wanaweza kutumia weledi kuwapata wauaji lakini hasa kujua chanzo cha mauaji!

Ni kweli wanainchi hawajui chochote kuhusu hawa wauaji??

Lengo la mauaji ni nini na kwanini Polisi na viongozi wa CCM tu?

Kama hayo mauaji ni mwaka huu basi bado hatujafika huko
 
n

ni lazima kumlazimisha mwingine afuate misimamo yako?
Wapi nina lazimisha?

Ukimwambia mtu anayekubali dini ya kigaidi kwamba dini yako ni ya kigaidi, kwa sababu aya za Quran ni za kigaidi, utakuwa unamlazimisha mtu kufuata msimamo wako?

Ukimwambia mtu anayeita mchana usiku na usiku mchana kwamba anakosea unamlazimisha afuate msimamo wako?

Uislamu ni ugaidi, unakubali?
 
Kwamba serikali ikitamka kuwa mauaji ya pwani ni ya kigaidi itakuwa imeitangazia dunia na hivyo kuhatarisha mahusiano ya kimataifa na biashara ya utalii, hili kama lile la daktari malechela junior alipotangaza viashiria vya zika kuwepo nchini akatimuliwa kazi, kifupi serikali hii inatatizo la kukataa kukiri tatizo kama njia ya kupambana nalo, hatuwezi kufaulu kwa njia hii....hivi ni vitendo vya kigaidi, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kama vimeshindwa na hakika vimeshindwa, viombe msaada Jumuiya ya kimataifa.
 
Wapi nina lazimisha?

Ukimwambia mtu anayekubali dini ya kigaidi kwamba dini yako ni ya kigaidi, kwa sababu aya za Quran ni za kigaidi, utakuwa unamlazimisha mtu kufuata msimamo wako?

Ukimwambia mtu anayeita mchana usiku na usiku mchana kwamba anakosea unamlazimisha afuate msimamo wako?

Uislamu ni ugaidi, unakubali?


ikiwa unaona hivyo ona hivyo.
 
ikiwa unaona hivyo ona hivyo.
Siyo naona hivyo tu.

Huo ndiyo ukweli.

Uislamu ni dini ya kigaidi na kila mtu mwenye akili na mpenda amani anatakiwa kuikataa.

Umeongelea kuhusu mimi kulazimisha kila mtu awe na msimamo wangu.

Mimi silazimishi. Napinga wanaolazimisha kila mtu awe na msimamo wao.

Uislamu unalazimisha kila mtu awe na msimamo wa Kiislamu.

Quran imehimiza Waislamu wawaue watu mpaka watu wabaki Waislamu tu.Dunia nzima imuabudu Allah.

Aya za Quran zinazosema hivyo zipo. Nimeziweka wazi post #45. Si kitu ninachosema mimi tu. Quran yenyewe inataka Waislamu walazimishe uislamu dunia nzima.

Kwa hiyo kama unapinga wanaolazimisha msimamo wao kwa wengine, pinga Uislamu.Pinga Quran.
 
Back
Top Bottom