D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,160
- 3,259
Kuna mtu atasema tusihusishe ugaidi na dini
Probability ya kuwa majina yote ni ya kiislamu ni kubwa sana kwa vile Kibiti, Ikwiriri na maeneo mengine ya huko wengi ni waislamu...Halafu kwa kutaka kuyaridhisha masikio na matarajio ya waTanzania, eti majina yote yaliyotajwa ya kiislamu, something smells fishy here. Am not falling for this shit, hii ni quick cover up guys kama kawaida yao.
Sawa. Lakini Marekani si Mungu kwa hiyo wakiwa magaidi sishangai.Ugaidi.mbona hata marekani ni magaidi na wanawapa,misaada ISIS.AU HAUJUI HILO?
Quran unahumiza ugaidi na hivyo si kitabu cha Mungu.Nimekuuliza hvyo nina maana yangu.MAANA YOTE NILIYOYATOA KWENYE QURAN YAPO KWENYE SAYANSI YENU.NA QURAN ILIKUWA YA KWANZA KABLA YA SAYANSI.
TAFUTA HOJA NYINGINE YA KUMKATAA MUNGU.
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani
JESHI la polisi mkoani Pwani ,limewabaini baadhi ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji wapatao kumi na mbili akiwemo mwanzilishi wa mauaji Abdurshakur Ngande Makeo .
Aidha jeshi hilo linaendelea na msako kuwatafuta watu hao ambao wanne picha zao zimepatikana .
Akizungumzia hali ya kiusalama ya Mkoa kutokana na vitendo vya mauaji vinavyoendelea katika wilaya hizo ,Kamanda wa polisi mkoani hapo,Onesmo Lyanga ,alisema wanaendelea na mapambano na upelelezi kuwapata wahusika wote .
Alieleza ,jeshi la polisi limewabaini kwa majina na picha kwa baadhi yao .
Kamanda Lyanga ,aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni
- Faraj Ismail Nangalava
- Anaf Rashid Kapera
- Said Ngunde
- Omary Abdallah Matimbwa
- Shaban Kinyangulia
- Haji Ulatule
- Ally Ulatule
- Hassan Uponda
- Rashid Salim Mtulula
- Sheikh Hassan Nasri Mzuzuri
- Hassan Njame
Kamanda Lyanga ,alieleza kwamba ,Saidi Ngunde inadaiwa anaishi Ikwiriri na Omar Abdallah Matimbwa anaishi Dar es salaam ambapo picha zao wanazo pamoja na ya Faraj na Anaf .
Alieleleza wengine nane bado picha zao hazijapatikana hadi sasa .
“Jeshi letu limebaini hayo kwa kushirikiana na wasiri wetu huku tukiendelea na uchunguzi zaidi ” alibainisha .
Kamanda Lyanga alisema ,watuhumiwa hao ,wamegundulika kuwa hupendelea kutembelea maeneo ya kisiwa cha Simbaulanga ,kisiwa cha Saninga kijiji cha Nchinga .
Kamanda huyo ,alifafanua kijiji kingine ni cha Mfesini kata ya Nyamisati na maeneo mbalimbali ya wilaya za Kibiti ,Rufiji na Mkuranga.
Jeshi hilo linatoa wito kwa jamii kutoa ushirikiano kwa siri kufichua watuhumiwa kwani wanahatarisha hali ya usalama kimkoa .
Limetangaza bingo ya kumpatia sh. mil .tano yeyote atakaefanikisha zoezi hilo
Hivi karibuni jeshi hilo lilitangaza kuwa kuna mtandao wa majina ya wauaji 102 ambao wanawasaka hadi sasa ili kudhibiti vitendo vya mauaji vinavyotia hofu wananchi.
ni lazima kumlazimisha mwingine afuate misimamo yako?Quran unahumiza ugaidi na hivyo si kitabu cha Mungu.
Unakubali?
Nimekuwa nafuatilia kinachoendelea kuhusu mauaji ya Pwani yaani Kibiti na Ikwiriri mpaka kuamua kufika maeneo ya matukio hayo pia lakini kuna tatizo ktk kujua kinachoendelea na hasa ukweli wenyewe.
Watu wengi sana wamekamatwa kwa mahojiano na wengine kushukiwa na mauaji lakini cha ajabu husikii wala kapata taarifa sahihi ya kwanini mauaji yanafanyika kwa Polisi na viongozi wa CCM??
Hata tarehe 21/5/3017 Jana Wazuri Mwigulu Mchemba bado amekiri kutojua sababu za mauaji na wauaji wenyewe na kusisitiza tu kuwa wanainchi wanawajua!!
Sasa sijui Jeshi letu la Polisi tumeishiwa mbinu za ziada ktk sakata hili kitu ambacho siamini kabisa najua vijana tunao wanaweza kutumia weledi kuwapata wauaji lakini hasa kujua chanzo cha mauaji!
Ni kweli wanainchi hawajui chochote kuhusu hawa wauaji??
Lengo la mauaji ni nini na kwanini Polisi na viongozi wa CCM tu?
Wapi nina lazimisha?n
ni lazima kumlazimisha mwingine afuate misimamo yako?
Wapi nina lazimisha?
Ukimwambia mtu anayekubali dini ya kigaidi kwamba dini yako ni ya kigaidi, kwa sababu aya za Quran ni za kigaidi, utakuwa unamlazimisha mtu kufuata msimamo wako?
Ukimwambia mtu anayeita mchana usiku na usiku mchana kwamba anakosea unamlazimisha afuate msimamo wako?
Uislamu ni ugaidi, unakubali?
Siyo naona hivyo tu.ikiwa unaona hivyo ona hivyo.