Jeshi la polisi lajianika

Yaani ni bora Mara sabini wa huku kwetu wanatukwangua makofi wale wa US wao wanapiga paipu tu, tena wanachagua ya moyo au ya kichwani..!

Polisi wote dunia nzima ni dugu moja. Mimi nikilaga makofi nashukuru baadae mkavu naenda kushushia na kiroba. Ahahahaha!

maisha mepesi saana.
 
Hayo umetunga wewe!
 
Walimcharaza lipumba mpaka hatakuja kusahau lkn leo hii ni mfalme anayelindwa vibaya sn......
ILI POLISI WAFURAHI WE WALAMBE MIGUU ccm BASI.
 
Siwapendi polisi kinyama na siwanapata nguvu kutoka juu ila wajue kuna siku nguvu zitatoka chini. Nimewachoka sana hawa watu kila kitu wao amri kutoka juu endeleeni tu•
 
Wanachapa tu watu wazima na akili zao,watito wao majumbani kwao wanawalea kama jicho,Polisi wetu.ni waonevu sana kama wamefanya kitendo hicho.
Halafu watawezaje katika halihiyo kuwa rafiki wa raia,wakati mwingine wanapeleka watu vituoni ili watoke kwa ela.
Hata juzi kuna mmoja alisema hii habari ya "kuingia bure kutoka na ela" kupitia ITV.
 
Ni kweli Polisi ni idara, Magereza wanaitwa Tanzania Prisons Service. Ila kuitwa majeshi lilitolewa kama tamko la kisiasa nadhani wakati wa vita ya kagera!
Wataelewa tu!,
Jeshi ni Moja tu Tanzania!
Sijapata ona nchi Ina majeshi zaidi ya Moja!
 
Jamani muda wa miezi sita ni mchache sana kwa mtu ku-master sheria zote, ku-master mguu upande na mguu sawa. Wengi hutoka mafunzoni na uelewa mdogo wa sheria.
 
Back
Top Bottom