[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Weee!!! Hawasemwi hawa watu.maana waliingizia taifa hela.nyingi sana (Police Revenue Authority)
Kwan mapato yenyewe yanafika?Hivi ile dhamana wanayopata watuhumiwa wakiwa kituoM cha polisi huwa inaenda wapi?Hapa ndio polisi wanapiga hela za watu!Weee!!! Hawasemwi hawa watu.maana waliingizia taifa hela.nyingi sana (Police Revenue Authority)
Weka PichaMara nyingi Jeshi la polisi linashutumiwa kwa mambo mbalimbali hasa uonevu na kutumia nguvu zisizo za lazima!
Leo nimeona taarifa ya habari itv,kulikuwa na msako wa watu wanaotengeneza bidhaa feki!Nilichoshangaa ni kitendo cha polisi mwanamke kuanza kumchapa makofi binti ambaye tayari alikuwa amesurrender!Yaani mtuhumiwa tayari umemuweka chini ya ulinzi na wala hajaresist halafu unaanza kumpa kipigo! Kama jeshi linashindwa kufuata sheria tena hadharani,wanatoa picha gani kwa wananchi?
Jeshi ndio ambalo linatakiwa lisimamie sheria ndio linavunja sheria tena hadharani?Polisi ana mamlaka ya kumpiga mtu hata kama ni mhalifu akiwa chini ya ulinzi?shame
Cc Mwigulu Nchemba
Acha upotoshaji bhana,Zile fine zinazotozwa madereva wazembe ndiyo zinakuuma hivyo?Weee!!! Hawasemwi hawa watu.maana waliingizia taifa hela.nyingi sana (Police Revenue Authority)
Nenda kachukue WA Nje ya nchi BasiNdio jinsi wanavyofundishwa. Polis wetu wana matatizo sana.
Kama uliwahi kutoa hela ili dhamana itoke fahamu kua na wewe ni mhalifuKwan mapato yenyewe yanafika?Hivi ile dhamana wanayopata watuhumiwa wakiwa kituoM cha polisi huwa inaenda wapi?Hapa ndio polisi wanapiga hela za watu!
Sema Polisi, sio Jeshi!Mara nyingi Jeshi la polisi linashutumiwa kwa mambo mbalimbali hasa uonevu na kutumia nguvu zisizo za lazima!
Leo nimeona taarifa ya habari itv,kulikuwa na msako wa watu wanaotengeneza bidhaa feki!Nilichoshangaa ni kitendo cha polisi mwanamke kuanza kumchapa makofi binti ambaye tayari alikuwa amesurrender!Yaani mtuhumiwa tayari umemuweka chini ya ulinzi na wala hajaresist halafu unaanza kumpa kipigo! Kama jeshi linashindwa kufuata sheria tena hadharani,wanatoa picha gani kwa wananchi?
Jeshi ndio ambalo linatakiwa lisimamie sheria ndio linavunja sheria tena hadharani?Polisi ana mamlaka ya kumpiga mtu hata kama ni mhalifu akiwa chini ya ulinzi?shame
Cc Mwigulu Nchemba
...aka PRAWeee!!! Hawasemwi hawa watu.maana waliingizia taifa hela.nyingi sana (Police Revenue Authority)
Bila shaka wewe ni njaguAcha upotoshaji bhana,Zile fine zinazotozwa madereva wazembe ndiyo zinakuuma hivyo?