Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,088
- 28,206
Upo dhana ambayo askari wengi huwa NAYO kwamba anapopata taarifa toka mahali fulani basi taarifa hizo ni lazima zirudi kwa mtoa mtoaji yaani mhalifu amjue mtoa ili police aepuke kisasi cha muhalifu mara tu atakapo fanikiwa kutoka