Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Kwa maana hiyo kazi ya polisi tanzania ni kulea mafisadi wanaozitavuna rasilimali za nchi na kuwakamata wanaowatetea wananchi. Wakidhubutu kumkata dr. Slaa basi wajue kuwa wameitangazia umma kuwa hawapo kwa ajili ya masilahi ya umma bali wako kwa ajili ya masilahi ya mafisadi na serikali yao.
Hii itakuwa kali ya mwaka. Nitamwomba mungu awasamehe bure kwa kuwa hawajui walitendalo kama watadhubutu kufanya hivyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kauli ya Slaa ni sawa na kama jeshi la polisi au serikali linatishwa kwa kuambiwa ukweli basi wawe kunguru tu mambingwa wa kuogopa duniani SIAMINI JESHI LINASHINDWA KUKAMATA MAJAMBAZI NA MAFISADI LAKINI LINAMKAMATA ALIYEWAKUMBUSHA MAJUKUMU YAO


You don't need a forensics expert kukamata Slaa, wakati kukamata mwizi unahitaji criminology expert, na wataalam kama hao hakuna katika Tanzania police. Polisi wetu wanafanya kazi zote kwa trial and error tu. Ufundi wanausikia tu redioni. Na sababu ni ileile ya kupeana kazi kwa kujuana. Nenda IB uone kana hakuna darasa la Saba uko. Criminology gani itapanda kwenye kichwa cha darasa la 7? Kukamata Slaa? Watachangamkia hiyo tenda haraka sana. Kisa? You don't need any thinking kufanya hiyo!
 
People power bila kufuata sheria?hata ng'ombe habaki anasubiri jike li heat.ushabiki wa kijinga hausaidii JF
 
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.

source: Star tv news

Kukamatwa kwake kutaharibu zaidi uhusiano kati ya Polisi na Wananchi wanyonge kuliko wakati mwingine wowote uliopita.
 
akamatwe huwezi kudharau serikali namna hii

Kwa nini wasimkamate kisha watuambie sababu ya kumkamata? Wanasubiri anaondoka ndo wanapiga ukunga!
Polisi wetu mara nyingi ni kama mbwa koko, anapiga kelele nyingi lakini hakamati.
 
niko ukumbi wa Flamingo, Pasiansi vijana wanasema kinuke tu wajue kuwa hili ni jiji la milima
 
Natamani siku watanzania tutakapo mpa JK tamko, if u know what I mean... Choka na miyeyusho mbaya...
 
Wanajaribu kubinafsisha uelewa wa watz. They should never undermine the thinking of desperate fellow countrymen.
 
Haka kanafiki sana,mara si Mwanasiasa,kumbe ni kasisiemu,kwanza kanatumia masaburi.Mambo yake ni kulinda ccm tu wala hatusaidii lolote.Kamelala hapa Pasiansi nakalinda,eti kamanda wa mkoa,ni kamama ka mkoa.
 
Hivi serikali na chama wamekosa wanastratejia? Au ni hujuma kwa serikali na chama chake?
Sidhani kwa wakati huu ambapo kuna wingu zito dhidi ya utendaji wa serikali (taarifa ya CAG na kura ya kutokuwa na imani na WM), utata juu ya hukumu ya Lema, kushindwa kwa CCM huko Arumeru, kushindwa kwa CCM kwenye udiwani muhimu, Kuhama kwa kada muhimu wa UVCCM na wimbi la kuhama kwa wanaCCM, ukweli kwamba wabunge wawili walijeruhiwa siku ya mkesha wa uchaguzi - tena ni uchaguzi wa udiwani. Polisi wanaibuka na kutoa kauli tata kiasi hiki?

Wake up serikali. Mnachezea moto kwenye nyika wakati wa kiangazi. Moto ukilipuka hamtaweza kuuzima. Siyo muda muafaka kwa sasa. Serikali inahitaji kupumua na wala siyo kuendelea kuibua vitu visivyokuwa na msingi na kuacha mambo mazito yanayosumbua nchi.
 
Lusinde walimpa siku ngapi kujisalimisha kwa kutoa lugha ya matusi na kudhalilisha hadharani?
 
Hawa jamaa wa ajabu kweli, kuutangazia umma mambo ya namna hiiwanadhani watanzania watatishika kufikiria suala la kumtimua waziri mkuu, mawaziri au hata ''mkuu wa kaya''?

Kwanza hawa dhahiri wao ndio wanahatarisha amani ya nchi kwa kauli kama hizi.
 
Let's not be so judgemental. Kwani just because he has influence on people ndio akitamka kitu offensive dola ikae kimya? He's not a saint tuseme hakosei. Lakini pia, sio sahihi kumtishia kumkamata just because he exercised his right to speech. I think he is getting carried away to order the government easily like that.

Just out of curiosity, do you by chance live in Tanzania?
 
umefufuka ee,yaani vi ishu kama hvi ndo vnakuvuta nawewe angalau unachungulia jamvini na kusepa,mbona ujasiri wako umeyeyuka ghafla hvyo kwa kasi ya kuporomoka ccm
CCM haiwezi kuporomoka kamwe. Ni chama pekee hapa Tanzania chenye resources za kutosha kuanzia human as well as capital/financial.

CCM ina watu makini na ambao hawayumbishwi ovyo. Ndio maana umeona mpakaa maamuzi yoyote yachukuliwe, ni lazima tafakuri ya kina ya jambo husika ifanywe.

CCM kamwe haiwezi kuporomoka wa kelele za wapinzani, CCM cha kuiangusha labda kuwepo conflict within the part. So far ndani ya CCM hali ni shwari.
 
Back
Top Bottom