Jeshi la Polisi Kuimarisha Ulinzi Ziara ya Obama!

Jeshi la Polisi Kuimarisha Ulinzi Ziara ya Obama!

Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana!
Pia nimesikia kuwa haitaruhusiwa kutumia Tsh, wala kuongea Kiswahili kipindi chote atakachokuwepo.
Sijui ni kweli? au ni zile redio mbao Antena Juu ya minazi.
 
Labda ilinzi wa Ramli, wakae pembeni waone wanaume wenye itelijensi za maana sio zao za kipuuzi,

Police wa brigedia Tanzania ni sawa na mgambo wa marekani.
 
Wewe utaweza kumlinda rais wa DUNIA yaani hawataruhusiwa hata kusogea karibu yake obama anvyolindwa walinzi wametengeneza kama ukuta hivi ili uweze kumfikia yeye lazima uvuke hatua tatu ili uweze kumfika labda askari wa tanzania watakuwa ile hatua ya mwisho kabisa huko ya tano labda kama ipo
 
wanachekesha kweli, wao wahakikishe barabara zimepigwa deki na nyasi zimekatwa fresh hayo mambo ya kumlinda obama wasahau kabisa wakae mita 500 mbali na msafara wa obama.
 
Hiyo mibunduki yao na boda boda zao nani atawaruhusu?
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahaha Policcm is so funny!
 
mwangosi_tanzania_misatanzania_468.jpg

I LIKE JAMIIFORUMS and all members.
 
Hawahitajiki maana wataconfuse mkusanyiko wa watu na maandamano ya CDM. Watawapiga maana mkusanyiko wa watu hautakiwi (Maandamano).
 
wapuuzi polisi, maana haingii akilini kuwa wanahakikisha hakuna uhalifu utakaotokea na baada ya obama kuondoka uhalifu utaendelea sio? shame on IGP & your team.

Shame on IGP & his team
 
huwa najiuliza kama hawa polisi wanajua kuwa kuna watu hawana imani nao hata chembe???
 
wanachekesha kweli, wao wahakikishe barabara zimepigwa deki na nyasi zimekatwa fresh hayo mambo ya kumlinda obama wasahau kabisa wakae mita 500 mbali na msafara wa obama.

mkuu mbona unabwabwaja tu? Aliekwambia askari wa tz watakaa mita 500 kutoka msafara wa Obama nan?

ulishawah kufatilia na kuona protoko za ulinzi kwa viongozi wa kitaifa? Jukumu la ulinzi wa viongozi ni agenda na first strategic priority kwa nchi mwenyeji. Hao wamerakani watakuwa instructed na kufuata protoko za kiulinzi za nchi mwenyeji ambayo ni bongo.

hyo inasaidia communication as kama kuna any danger! Pia njia za msafara na corner zote anazopita!

Wao wata apply teknolojia zao 2 ila force resource ni ya bongo zaidi. Iko hvyo dunia nzima kila kiongoz anapokuwa nje ya mipaka yake ni walinzi wa nchi mwenyeji wanao ensure safety and ol that!
 
Wametangaza ulinzi kwani huo mkutano wa Chadema.?

Yaani hawa Polisccm hawaruhusiwi hata kugusa magari ya msafara wa Obama.!!
 
mkuu mbona unabwabwaja tu? Aliekwambia askari wa tz watakaa mita 500 kutoka msafara wa Obama nan?

ulishawah kufatilia na kuona protoko za ulinzi kwa viongozi wa kitaifa? Jukumu la ulinzi wa viongozi ni agenda na first strategic priority kwa nchi mwenyeji. Hao wamerakani watakuwa instructed na kufuata protoko za kiulinzi za nchi mwenyeji ambayo ni bongo.

hyo inasaidia communication as kama kuna any danger! Pia njia za msafara na corner zote anazopita!

Wao wata apply teknolojia zao 2 ila force resource ni ya bongo zaidi. Iko hvyo dunia nzima kila kiongoz anapokuwa nje ya mipaka yake ni walinzi wa nchi mwenyeji wanao ensure safety and ol that!

kawadanganye wenzio,kwani obama ndo rais wa kwanza wa US KUJA?
HUWA TUNAONA WANAUSALAMA KIBONGO WANAVYOWEKWA KANDO,HATA GATE LA IKULU LITAKUA CHINI YA USA
 
PoliCCM wao ndio Wanalipua Mabomu. sasa huo ulinzi wanamuwekea nani?
 
Back
Top Bottom