Jeshi la Polisi Kuimarisha Ulinzi Ziara ya Obama!

Jeshi la Polisi Kuimarisha Ulinzi Ziara ya Obama!

Waache kutafuta Sifa za bure.Rais wa Marekani anakuja na Platoon Mbili za Jeshi la Marekani zilizokamilika Kivifaa.CIA NA FBI walishakuja wengi na Muda Mrefu.Polisi wa Tanzania wapo kama wasaidizi tu na kiukweli hata wasipoonekana Barabarani hakuna dhara litakalompata Obama.Ana Kikosi chake cha Ulinzi chenye watu na Vifaa vya Kisasa kabisa.Polisi wameshindwa kulinda Mikutano ya CDM,Watawezaje kumlinda Obama anayewindwa na Magaidi wa Kimataifa?.
Hawaruhusiwa hata kusogea na silaha
 
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana!
Hata mie nimecheka. Polisi CCM=Wauaji!
 
Hichi nacho ni kituko.
Kwani wakati mwingine huwa wanakuwa wapi!? na Obma akiondoka itakuwaje?
 
wapuuzi polisi, maana haingii akilini kuwa wanahakikisha hakuna uhalifu utakaotokea na baada ya obama kuondoka uhalifu utaendelea sio? shame on IGP & your team.

Hahahahahahaha, kwa maana hiyo wana verify kuwa wao ndio wanafanya uharifu. PoliCCM huwa mnachekesha sana
 
Mbona nasikia wamarekani wamesema kuwa wao jukumu la ulinzi ni wajibu wao wenyewe .......
Wamarekani wamesema ulinzi kwa Obama ni juu yao wao, siyo kuilinda Tanzania....
Jeshi la polisi wamesema watahakikisha hakuna UHALIFU WOWOTE KIPINDI HICHO, i.e. hata sehemu ambako Obama hatafika wala hao walinzi wa Obama hawataenda hakutakuwa na uhalifu.
sasa hili linashindikana nini wakati Obama hayupo nchini?
 
Mbwa wa USA ana thamani kubwa zaidi ya hao polisi wa Tanzania. Hawana maadili ya hata kusogelea kabisa. Ni killer of their own citizen.

Umenena mkuu, akina Ritz na wazee wa Buku saba saba sijui kama wanajua hilo. Mimi police siogopi tena, najisikia mshindi nikifa napigana na police na tena kufa kwa risasi!!!

Police na ndoto za kumuona Obama,
 
Ha ha ha kicheko....kwa taarifa yenu polisi hata Kova hafai kuwa mbwa wa ulinzi wa Obama,those dogs are highly trained to be millitants sio polisi kichefuchefu wa bongo wako kwa ajili ya kutuliza maandamano tu tena ya CDM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapa ni hayo maoni yako tu ndiyo kitu cha kufannya hakuna kingine
 
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaweka Ulinzi mkali wakati wote wa Ziara ya Rais Obama wa Marekani, na litahakikisha hakuna uhalifu wowote nchini kwa kipindi hicho!

Maoni yangu:
Nimecheka sana!

US hawawahitaji kwa sababuu zifuatazo:-
1. 99% hawana maadiili ya kazi
2. 98% hawana uwezo wa ku-reason 1 (Elimu ndogo)
3. 90% Majority hawajui Kiingereza isipokuwa neno 'shoot'
4. 95% wanavitambi zaidi ya Mgeni Rais.
5. Ni wauaji zaidi kuliko kuleta aman.
6. .................................
7. .................................
8. .................................
 
US hawawahitaji kwa sababuu zifuatazo:-
1. 99% hawana maadiili ya kazi
2. 98% hawana uwezo wa ku-reason 1 (Elimu ndogo)
3. 90% Majority hawajui Kiingereza isipokuwa neno 'shoot'
4. 95% wanavitambi zaidi ya Mgeni Rais.
5. Ni wauaji zaidi kuliko kuleta aman.
6. .................................
7. .................................
8. .................................
IMG_1875.JPG
 
US hawawahitaji kwa sababuu zifuatazo:-
1. 99% hawana maadiili ya kazi
2. 98% hawana uwezo wa ku-reason 1 (Elimu ndogo)
3. 90% Majority hawajui Kiingereza isipokuwa neno 'shoot'
4. 95% wanavitambi zaidi ya Mgeni Rais.
5. Ni wauaji zaidi kuliko kuleta aman.
6. .................................
7. .................................
8. .................................
mwangosi_tanzania_misatanzania_468.jpg
 
hawa polisi wamepata mradi wa kukamata na kutoza kodi kwa watakao wakusanya kipindi hiki.
Pia watapata wasaa wa kupiga raia wasio na hatari yoyote.
Kama wanaweza kuzuia uhalifu kipindi cha ujio wa Obama, basi wao ni sehemu ya wahalifu tanzania.
 
Watalinda kitu gani na kumwekea ulinzi nani wakati Jamaa wanakuja na chopa za kuzuru anga na watakuwa na "anga ya rais" ambayo hakuna ndege itakayoruhusiwa kuisogelea.

Hawa waendelee kurusha mabomu kwenye mikutano ya CDM tu.
 
Watakuwa wabeba mabegi ya wageni wetu, na tena hawa wageni wasipokuwa makini wataibiwa.
 
Hapa naamini USS Kennedy carrier iko hapo mbele ya zanzibar tu, ikiwa full of H16 Jet fighters

 
Mbona nasikia wamarekani wamesema kuwa wao jukumu la ulinzi ni wajibu wao wenyewe .......
Ndio hivo mkuu policcm hawaruhusiwi kutia guu hapo,,,wao waendelee kuwa busy na kukimbizana na chadema na kutunga kesi za ugaidi maswala nyeti kama hayo hawawezi ku aminiwa!!!
 
Back
Top Bottom