Jeshi la polisi,fahamu huu ni utapeli pia,

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Mwanamke na mume wake wanakula njama ya kupata hela kwa njia ya ugoni ,Yaani mwanaume anamwambia mke wake afanye juu na chini atongozwe na pedeshee fulani siku ya tukio wakiwa lodge au hotel kabla hawajafanya mapenzi amshtue mume wake anakuja na polisi kumshika jamaa ugoni

Wanafikishana kituo cha polisi au njiani jamaa anatoa milioni 3 ili yaishe na wasichafuane mjini

Haiwezekani! Huu ni utapeli

Muwe makani ukitongoza mke wa mtu ujue ni deal na mume wake

Polisi chunguzeni aina hii ya utapeli
 
Tayari mtu kashaliwa!! Mtaani kugumu, pesa hakuna, vitu vimepanda bei, mafuta ya vyombo vya moto hakuna, umeme unakatika baikoko wakasome!! Maji kuyapata mpaka Bukoba kwa wahaya afu mama anasema KAZI IENDELEE
 
Sasa hapo utapeli uko wapi?? Mtu umemtongoza mwenyewe kwa hiyari yako na ni mtu mzima kabisaa .
Si ajabu alikwambia kaolewa na ww ukaingia mzima mzima, wacha ulipe faini tu.
 
Daah inataka moyo aisee, unaacha mke Lodge na raia alafy utegemee kuja kumuwahi na umkamate kabla hajala mzigo, hatari sana

Kuna siku utafanya mchongo kama huo alafu gari ya polisi, iharibike njiani mpaka ufike unakuta ndio anatoka room sijui utadai pesa au utaanza kulia
 
Mbona Kaz ndogo Sana hyo kwa sisi makonk master hapa mjin unampigia simu mlengwa unamwambia njoo KILIMAN GUEST chumba namba 4 kumbe pale n kituo Cha kukutana tu.

Akija unamnyaganya simu zote unaenda KINZUDI GUEST

Mumewe akija kiliman hakuna mtu lazma achanganyikiwe

HAPO LAZIMA ATOMBEWE TU
 
Hahaha mbinu ya hatari
 
Mwanamke na mume wake wanakula njama ya kupata hela kwa njia ya ugoni ,Yaani mwanaume anamwambia mke wake afanye juu na chini atongozwe na pedeshee fulani siku ya tukio wakiwa lodge au hotel kabla hawajafanya mapenzi amshtue mume wake anakuja na polisi kumshika jamaa ugoni

Wanafikishana kituo cha polisi au njiani jamaa anatoa milioni 3 ili yaishe na wasichafuane mjini

Haiwezekani! Huu ni utapeli

Muwe makani ukitongoza mke wa mtu ujue ni deal na mume wake

Polisi chunguzeni aina hii ya utapeli
Acha umalaya Qma wewe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Kaz ndogo Sana hyo kwa sisi makonk master hapa mjin unampigia simu mlengwa unamwambia njoo KILIMAN GUEST chumba namba 4 kumbe pale n kituo Cha kukutana tu.

Akija unamnyaganya simu zote unaenda KINZUDI GUEST

Mumewe akija kiliman hakuna mtu lazma achanganyikiwe

HAPO LAZIMA ATOMBEWE TU
Hahaha kinzud mtaan kwangu
 
Back
Top Bottom