Jeshi la Polisi Dar, limewaua majambazi watatu na kukamata silaha mbili aina ya Shotgun Pump Action na Bastola aina ya Browning

Kuna tukio lilitokea pia arusha, "arapisii" akiwa ni yule kada wa fisiem alohamishiwa chuoni moshi,tukaambiwa kulikuwa na stand off ya takribani masaa mawili au matatu wakirushiana risasi makaka jambazi na polis, lakin kwenye taarifa tukaambiwa eneo la tukio yaliokotwa maganda ya risasi yasiyozidi 12, sasa unajiuliza kwa muda wa masaa mawili au matatu hiyo stand off ndo zilirushwa risasi 12 tu kutoka kwa majambazi??

Huyo mambosasa ni empty head kabisa! Toka aseme risasi ilikata kona ikamuua akwilina huwa simtofautishi na pimbi
Eneo la tukio yaliokotwa maganda 12, na ambayo hayakuokotwa Ni mangapi?
 
Mimi naomba kuuliza gari lililopigwa risasi mpaka kuua majambazi waliokuwemo ndani ndo hilo?
Hata mimi nashanga halina hata tobo la risasi.
Na huyo jambazi ambaye amekutwa ndani baada ya upekuzi kwanini hawajamkamata nakwenda kumuhoji amekufa muda gani!?

Waandishi wa vyuo vya ghorofa ya ilala na kariakoo huwa hawawezi kuuliza maswali wakishpewa taarifa wanawahi kuichapisha.
 
Hata mimi nashanga halina hata tobo la risasi.
Na huyo jambazi ambaye amekutwa ndani baada ya upekuzi kwanini hawajamkamata nakwenda kumuhoji amekufa muda gani!?

Waandishi wa vyuo vya ghorofa ya ilala na kariakoo huwa hawawezi kuuliza maswali wakishpewa taarifa wanawahi kuichapisha.
Hujaelewa, aliyekutwa ndani ya gari alikuwa tayar mfu
 
Una shotgun yenye risasi nne na bastola yenye risasi nne. Unatakiwa ufanye nini? Cha kufanya ni kukimbia siyo kupambana hizo silaha hapo juu zote hazina accuracy ya kukufanya ujione kidume kupambana na askari plus risasi ni chache.

So utatumia hizo risasi kutafuta pa kutokea. Ila jamani kwani 19M ni ndogo kiasi cha kutaka kuendelea kuiba?
 
Kwanini wasikamatwe?
Mtu ashazoea kuua raia wa kawaidaa leo hii polisi Aanze kumsogeleaa???? Me nkajua unatetea suala la kuuliwa raia wasiokuwa na hatia wakidhaniwa ni majambazi kumbe unatetea Majambazi kabisaa??? Sio mzima weww mkuu nasema Wapigwe risasi tu tena za kutoshaa..
 
Back
Top Bottom