Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,276
'Jeshi la Magereza katika gereza la mahubusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smart phones) zilizokuwa zingizwe gerezani huko na kupewa wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Simu hizo ziliwekwa kwenye mifuko ya nailoni na kufichwa kwenye chakula. Jeshi hilo linamshikilia kijana aliyeleta chakula hicho.!