RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 58,303
- 131,275
- Thread starter
- #21
aise namkubali sana.Kama mafundi wanazingua tuna wadau wetu humu, Fundi mahiri wa Ujenzi na aise hawa jamaa hawawezi kukuangusha
aise namkubali sana.Kama mafundi wanazingua tuna wadau wetu humu, Fundi mahiri wa Ujenzi na aise hawa jamaa hawawezi kukuangusha
Sasa mimi nilizoea hawa wa siku 3/4
Wanakula kwao mkuu.
Kwamba dirisha mbili kwenye ukuta wa upande mmoja ndo fashen ya kisasa 🙆 bc mm bado sana 😂Mbaga Jr , ndio fasheni ya nyumba za nyumba sasa, hasa kukiwa na mkunjo wa kuta. Kona hii na kona ile lazima zikae dirisha. Ni muhimu, lakini sio lazima. 😁
😀😀😀 huwa tunasema 'kuna fasheni acha zinipite tu' Hapo ningeweka dirisha moja ingebidi liwe kubwa sana ukuta mpana. Madirisha mawili yanavutia zaidi.Kwamba dirisha mbili kwenye ukuta wa upande mmoja ndo fashen ya kisasa 🙆 bc mm bado sana 😂
Kwamba dirisha mbili kwenye ukuta wa upande mmoja ndo fashen ya kisasa 🙆 bc mm bado sana 😂
Nyumba nzuri namimi nitakuja kumiliki nyumbaKuna kajumba ka kupangisha nimekajenga sehemu. Nyumba hii ni vyumba vitatu vya kulala,sebule,jiko na vyoo viwil kama kawaida.
Sasa wakati wa kuezeka kama kawaida nilivyozoea najua ni kazi ya siku 3-5. Fundi alienijengea akaniambia ana watu wake wa kuezeka wanaezeka kwa siku moja tu yaani wanakuja asubuhi 0600 jioni 1800 wanakabidhi kazi! Nikamuuliza mara mbili mbili akaniambia wanaweza ma kazi ni kiwango.
Akaniunganisha na hawa mafundi. Wakanipa list ya material na wakasema wanaweza kulala site ili waanze saa 0600 nikawaambia site hairuhusu kulala au kutumza vifaa basibwakasema watakuja asubuhi.
Asubuhi wakafika pale saa 0600 mpaka vifaa kufika site wakaanza kazi 0800. Mimi nilifika site around 1600 hivi na nilikuta wanamalizia kuweka mabati sehemu iliobaki kama robo tu ya nyumba nzima. Na kazi ilikuwa kiwango cha juu. Kufika 1830 wamemaliza na wakasema kama vifaa vingewahi ningekuta kazi imeisha. Kwa kweli nilishazoea kuezeka ni kazi ya siku tatu na kuendelea. Nyumba ilitumia mabati 95, mbao 2*2 100pcs na 2*4 150pcs. Mafundi walikuwa 8. Wote mafundi hakuna kibarua.
View attachment 3588379
Sijawah kuona nyumba ya size hiyo ikiwa na madirisha mawili, labla mm sio mtembeajiNdio hivyo mkuu! Kwenye chumba cha kwenye kona, na vyumba vya sebule dirisga moja uongo mkuu. Nyumba haitapendeza na ule usasa utakuwa haupo. 😁
Sema Mbaga wewe mchumi sana. 😊
Ishu ya dirisha kuwa kubwa n maamuzi tuu, Tia dirisha moja size ya kati hapo katikati, unatullia😀😀😀 huwa tunasema 'kuna fasheni acha zinipite tu' Hapo ningeweka dirisha moja ingebidi liwe kubwa sana ukuta mpana. Madirisha mawili yanavutia zaidi.
Sijawah kuona nyumba ya size hiyo ikiwa na madirisha mawili, labla mm sio mtembeaji
Naona moja size fulani hv pangekuwa unyamaNi kupenda kwake, angeweza asiweke yote upande huu, akaweka upande wa pili moja, upande huu moja. Lakini, angeinyima hiyo nyumba dirisha ingepoteza maana. 😊
Hahahaaa!Sijawah kuona nyumba ya size hiyo ikiwa na madirisha mawili, labla mm sio mtembeaji