excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
Kwanza kabisa niwape pole wananchi wenzangu wa EAC kwa janga lililotukuta. Poleni sana seriously.
Well, upande wa pili wa tukio unaonisikitisha ni kuhusiana na Kenya Army, mbona strategy zenu za security ziko insecure sana wajameni??
Toka sakata la westgate litokee mkaonesha mission chini ya kiwango kabisa...
Hii sasa kali, mcheki huyu mwanajeshi alikuwa anatoroka Al shabaab kule Garissa kwa kujificha kwa raia...
Aibu sana hii.. Huwezi kumlinda raia kwa style hii.. Huyu alikuwa anatoroka tu..
Hawa nao kweli wako armed seriously kupambana na magaidi??
Seriously??
These guys used more than 13 hours for rescue!
Imagine Al shabaab waliendeleza vifo at the point that Kenyan Army was there!!
Ni vyema mnunue vifaa bora, bullet proof kama hawa mtaweza kumshika mwana Al shabaab angalau with bare hands.