Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Hahahaha ukumbuke wameshateka Makao Makuu ya Jeshi!!!! Na inasemekana wengi walikua ni Waasi ambao waliingizwa jeshini!!! Mungu awaepushie kadhia hio.kwamfano raisi akashindwa kumeet their demand hao mateka watauawa? au ndio mwanzo wa mapinduzi yenyewe.....
Jamaa wameingia mtaani, wameteka watu na Makao Makuu ya Jeshi LA Nchi hio. Waziri wa Ulinzi Anaendelea ku- negotiate nao, wanataka salary ya Dollar 8000 na Nyumba kwa kila MTU.
Rais amehutubia kwa kifupi sana na kuwaambia hio sio proper way to negotiate. Wana akili Sana Hao jamaa, they know their value.
Source: Aljazeera, Reuters na BBC
Ivory Coast soldiers mutiny spreads to Abidjan - BBC News
Safi muosha huoshwa huyu jamaa (Raisi wa Ivory Coast) ndiyo aliyemfitini Gbagbo pmj na Wazungu wake na alikuwa anajitayasrisha kuivamia Gambia, sasa na yeye ajiandae shwaini huyu kibaraka ya Mzungu! Dola 8000 ataitoa wapi? Hiyo ni coup d'état dadadeki ndo ajue Wazungu siyo watu wa kuwaamini hata siku moja, wameshamgeuka!
Safi muosha huoshwa huyu jamaa (Raisi wa Ivory Coast) ndiyo aliyemfitini Gbagbo pmj na Wazungu wake na alikuwa anajitayasrisha kuivamia Gambia, sasa na yeye ajiandae shwaini huyu kibaraka ya Mzungu! Dola 8000 ataitoa wapi? Hiyo ni coup d'état dadadeki ndo ajue Wazungu siyo watu wa kuwaamini hata siku moja, wameshamgeuka!
Ni kawaida ya mtu mweusi kudhani kwamba kila tatizo analopata limesababishwa na mzungu hii tumeiona hata marekani watu weusi wana inferiority complex kwahiyo sikushangai wewe.Safi muosha huoshwa huyu jamaa (Raisi wa Ivory Coast) ndiyo aliyemfitini Gbagbo pmj na Wazungu wake na alikuwa anajitayasrisha kuivamia Gambia, sasa na yeye ajiandae shwaini huyu kibaraka ya Mzungu! Dola 8000 ataitoa wapi? Hiyo ni coup d'état dadadeki ndo ajue Wazungu siyo watu wa kuwaamini hata siku moja, wameshamgeuka!
Senegal ndo inajiandaa kumtoa madarakani Yahya Jammeh 19-01-2017,Siyo Ivory coastSafi muosha huoshwa huyu jamaa (Raisi wa Ivory Coast) ndiyo aliyemfitini Gbagbo pmj na Wazungu wake na alikuwa anajitayasrisha kuivamia Gambia, sasa na yeye ajiandae shwaini huyu kibaraka ya Mzungu! Dola 8000 ataitoa wapi? Hiyo ni coup d'état dadadeki ndo ajue Wazungu siyo watu wa kuwaamini hata siku moja, wameshamgeuka!
Ni kawaida ya mtu mweusi kudhani kwamba kila tatizo analopata limesababishwa na mzungu hii tumeiona hata marekani watu weusi wana inferiority complex kwahiyo sikushangai wewe.