Kwa hiyo kipaumbele cha kuifuta Hamas kimeisha ?Walipewa masharti nafuu sana kuwa wawaachie mateka mambo yaishe,
Hukuelewa, wawaachie mateka ili waruhusu misaada kuingia Gaza, ila mapigano yako pale pale.Walipewa masharti nafuu sana kuwa wawaachie mateka mambo yaishe,
Hii sio akili ni maji ya mtaroKwa hiyo kipaumbele cha kuifuta Hamas kimeisha ?
Vita havina mshinfi, ukishapoteza mtu mmoja tu ni hasara kubwa sanaHaya sasa waendelee tuone nani atakuwa mshindi.
Msimamo wa Israel ni kwamba hata wakiwaachia mateka wote basi vita vitaendelea na hakuna kupelekewa misaada hasa mafuta.Sasa yanini Hamas wawachie na hakuna watakachokipata mwishowe.Walipewa masharti nafuu sana kuwa wawaachie mateka mambo yaishe,
Hamas wakubali wanawatesa wapalestina sanaHukuelewa, wawaachie mateka ili waruhusu misaada kuingia Gaza, ila mapigano yako pale pale.
Mambo hayawezi kuisha kwa kuachia mateka.
Jana, mwandishi wa Aljazera alipoteza familia wakiwemo mke, watoto wawili na mjukuu. Tena wakiwa kambini.Vita havina mshinfi, ukishapoteza mtu mmoja tu ni hasara kubwa sana
Kati ya Hamas na Israel nani anamtesa mwenzake zaidi..Hamas wakubali wanawatesa wapalestina sana
Nani na lini hayo yalisemwa?? Huu ni opotoshaji, tangu mwanzo Netanyau alisema wakabidhi mateka wasiwakabidhi vita iko pale pale.Walipewa masharti nafuu sana kuwa wawaachie mateka mambo yaishe,
Pk, endeleeni kula chuma kwani mnapenda damu sanaNani na lini hayo yalisemwa?? Huu ni opotoshaji, tangu mwanzo Netanyau alisema wakabidhi mateka wasiwakabidhi vita iko pale pale.
Bbc wanasemaje?Kulingana na radio ya Israel vikosi vya IDF vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya Gaza usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo taarifa zaidi za mashambulio hayo dhidi ya Hamas hayajwekwa wazi.
Habari hizo zinafuatia ahadi ya hapo jana ya waziri mkuu wa nchi hiyo aliposema mashambulio ya kuingia Gaza yapo karibu kuanza lakini akasita kutaja ni siku gani yangeanza. Na pia yanakuja wakati viongozi wa nchi za Ulaya wakikutana kujadili vita hivyo na umuhimu wa kuruhusu misaada ya kibinadamu kwa Gaza.
Katika mkutano huo wa viongozi wa Ulaya,raisi Macron wa Ufaransa aliitahadharisha Israel kuwa kuingiza vikosi vya IDF itakuwa ni kosa kubwa itakalolifanya nchi ya Israel
Kwa takriban wiki mbili tangu patokee mashambulizi ya kushtukiza ya Hamas waziri mkuu wa Israel amekuwa katika malumbano na waziri wake wa ulinzi kuhusu uharaka wa kuingiza vikosi hivyo Gaza.
Wakati waziri wa ulinzi akihimiza kufanyika zoezi hilo kwa haraka kuokoa moyo wa kutaka kupiga wa askari wake walionao, waziri mkuu amekuwa akiakhirisha vita vya ardhini kwa kuhofia yatakayozuka hasa akiwafikiria Hizbullah.
Israeli army carries out a “relatively large” ground incursion into the Gaza Strip overnight to attack Hamas positions, according to the Israeli army radio.Aljazeera
Sasa wao ndio wanatoa habari za Gaza kwa kina?Bbc hawako karibu na Gaza kuliko Aljazeera
Sasa ulikuwa na haja gani ya kinikejeli hali ya kuwa nimekuuliza swali?Hii sio akili ni maji ya mtaro
Mkuu hiyo historia ya mayahudi na maarabu kuhusu mikataba umeisoma wapi na sisi tupate elimu kuwahusu hao mayahudi na maarabu.Kati ya Hamas na Israel nani anamtesa mwenzake zaidi..
Wako waliotii amri za jeshi la IDF na bado wakauliwa kwenye mikokoteni na kwenye manyumba waliyofikia kusini ya Gaza.Kwa ufupi katika historia yote ya mayahudi hakuna kutekeleza ahadi wala kuheshimu mikataba.