Jesca Msambatavangu ndiye nyoka wa SHABA, CCM Iringa Mjini

Jesca Msambatavangu ndiye nyoka wa SHABA, CCM Iringa Mjini

Laiti kama tungeisema sababu iliyojificha ya huyu mama kufukuzwa CCM wala huu mjadala usingekuwepo. Kwa sababu tunaikwepa basi acha tujadiliane. Ila ukweli ni kuwa Jesca ataaminika ndani ya CCM baada ya mwenyekiti wa sasa kutoka madarakani.
 
Mimi sio mwana ccm na sijawahi kua mwana ccm hata mara 1 but niseme hivi, kwanza nikiri kwamba hata mimi namfahamu JEsca Msavatavangu ( wengi wanakosea surname yake ). Namfahamu tokea akiwa kinda kabisa akiwa anavaa sketi nyeusi na blouzi nyeupe (usiniulize sana kuhusu hizo rangi za nguo zake) ni mwanamke jasiri sana na mengi aliyozungumza Dr (though Dr najua kajitambulisha kimkakati Zaidi ) ni ya kweli as far as I know
Angekuwa mwana mkakati Iringa CCM ingeshindwa Iringa mijini kwake? Ni sawa na mbeya Mwabdosya alikuwa akijifanya mwamba wa mbeya CCM ikapigwa chini Mbeya mjini.Jesca abaki mwanachama wa CCM wa kawaida na Lowasa wake.Uwezo ni kuhakikisha ushindi Sio kujiiita Mwamba wa Eneo wakati CCM inashindwa.Hayupo kama mwenyekiti CCMl mkoa CCM imekuwa ikitwaa viti vya udiwani ambavyo yeye hakuweza kuvuchukua kipindi akiwa mwenyekiti Wa CCM mkoa aishie zake huko
 
Umelipwa bei gani , hili garasa ndio upeleke lipambane na Msigwa ?

Huyu jesca hamwezi Msigwa, Alafu yeye kakaa miezi minne ameshafanya research akaja na majibu sisi tunajua kila kona ya iringa aisee kwanza hakuna binadamu anaroho ngumu kama jesca kawazurumu sana watu, kamlia sana hela abuu, hilo la kufukuzwa ni aliteka wanachama wa ccm na wahuni wake wakaenda kuwatesha na kuwafirisha kwa watu kisa anasema ni wasaliti, mkuu nenda maeneo ya kitanzini au miyomboni mtafute mtu anaitwa james siza huyu mzawa mwenyeji atakueleza umafia wa kina jesca, au tafuta binadamu anaitwa ibrahim shambe mtoto wa mama shambe watakueleza mkuu
 
asante kwa ushahidi
 
Mimi sio mwana ccm na sijawahi kua mwana ccm hata mara 1 but niseme hivi, kwanza nikiri kwamba hata mimi namfahamu JEsca Msavatavangu ( wengi wanakosea surname yake ). Namfahamu tokea akiwa kinda kabisa akiwa anavaa sketi nyeusi na blouzi nyeupe (usiniulize sana kuhusu hizo rangi za nguo zake) ni mwanamke jasiri sana na mengi aliyozungumza Dr (though Dr najua kajitambulisha kimkakati Zaidi ) ni ya kweli as far as I know her. Hivi Mhe raisi wakati ule na Lowassa si walikua chama kimoja? Wakati wa kutafuta KURA za maoni, kuna dhambi gani wana chama wakiwa na makundi? Kama kuna kitu mnakikosea sana wana ccm ni hiki, kwamfano Loawassa angepita na kua raisi may be, je asingemchagua mhe rais wa sasa hvi kua waziri? Acheni mambo ya kizamani na ya kijima, wakati wa kutafuta mgombea, makundi hayaepukiki, iwe kwenye dini, siasa, mpirani na kote, makundi yatakua mabaya tu endapo baada ya uchaguzi watu watayaendeleza, period.
Wewe Mheshimiwa
Kwanza
karibu sana Dk Julius Nnko Iringa , na kwa upekee Mkimbizi,

Sisi ndo wazaliwa wa hiyo mitaa.

Siasa za Iringa bwana changamoto, Sababu pekee iliyomfanya Msigwa achaguliwe Iringa kwa mara ya Kwanza, ilikuwa kwa sababu wahehe walipewa mtu wasio mtaka, walikuwa wanamtaka Mwakalebela, wakapewa mama Mbega ambae kwa wakati ule walikuwa wamemchoka.

Kwa sasa ni kweli Madam Jesca ana ushawishi mkumbwa, ila historia yake ya uchaguzi wa mwaka 2015, inaweza ikawa kikwazo ktk kukubalika na wana CCM iringa,

Pili kuna Madam Ritha Kabati, nae anatajwa tajwa sana midomoni mwa watu, na anakubalika miongoni mwa makundi ya Vijana na Akina mama, huyu ndo mpinzani nambari moja kwa Jesca ndani ya CCM, Amekuwepo bungeni kwa miaka kumi sasa kama mbunge wa viti maalum mkoa, nafasi ambayo ameitumia vyema kujinadi.

unafahamu Kihehe? Msavatavangu maana yake inajipinga yenyewe (contradictory in terms) Msambatavangu ndiyo Kihehe kinachoeleweka. Ni sifa ya kivita kwa mpiganaji aliyepewa jukumu maalum (kusamba) wakati Wahehe wakipigana na maadui wa wakati huo wa zamani!
 
Uyu Dada aachane na siasa, nje ya siasa atafanikiwa sana kwakua ana akili na kipaji cha kutafuta fedha, siasa za bongo zinampotezea muda.
Siasa ndio kichaka cha utajili wao haram, jiulize kwa uchumi anaomiliki in kwa nini bado anang'ang'ania siasa?
 
Na Balozi Mahige amejigomea kugombea Iringa mjini amesema anaenda Kalenga ambako ana uhakika wa ushindi.
Hivi Watanzania tuna laana gani? Huyu mzee Maiga haoni umri alionao ni wa kupumzika na kufanya shughuri binafsi shambani? Anashindwa kuiga wazee wenzanke kina Mzindakàya? Au anataka aibu kama ya Mzee Malecela kwa Kibajaji?
 
Jesca ndugu yangu kwani yule mama uliyemnanilii akatwaliwa ulitubu kweli?
Fanya mapatano na Mungu wako kwanza siasa mnachuma dhambi weh haya
 
Ukiona ni garasa basi ndio sahihi huyo.
Wewe endekeza ushabiki maana mimi nipo kitafiti zaidi
Mimi sijakukatalia kwamba Madam Jesca ni bora katika siasa lakini yawezekana hauwajui wana Iringa. Namna ulivyomueleza Madam ni kwamba weye si mgeni kiasi hicho. CCM ni lazima ibadili ile namna yao ya kuwachukulia watu. Kuna watu wa CCM hapo Iringa hujiona kwamba wao ndiyo kila kitu. Wabaguzi, waongo, mafisadi, washirikina, mabwanyenye, wenye tamaa nk. Mji huo umebadilika na una wageni wengi wasiopenda ubabaishaji. Kura za maoni ziheshimiwe kila wakati. Halafu, weye siyo mgeni ila unachokoza ili uambiwe ukweli.
 
Angekuwa mwana mkakati Iringa CCM ingeshindwa Iringa mijini kwake? Ni sawa na mbeya Mwabdosya alikuwa akijifanya mwamba wa mbeya CCM ikapigwa chini Mbeya mjini.Jesca abaki mwanachama wa CCM wa kawaida na Lowasa wake.Uwezo ni kuhakikisha ushindi Sio kujiiita Mwamba wa Eneo wakati CCM inashindwa.Hayupo kama mwenyekiti CCMl mkoa CCM imekuwa ikitwaa viti vya udiwani ambavyo yeye hakuweza kuvuchukua kipindi akiwa mwenyekiti Wa CCM mkoa aishie zake huko
Alivyovuliwa uenyekiti mlipata madiwani wangapi kabla ya kuanza kuwanunua wa CHADEMA
-kata ya Ruaha
-kata ya Kwakilosa
-Kihesa
-Kitwiru
-Gangilonga
-nk nk?
 
siku ya Jumamosi nilibahatika kwa mara ya kwanza kufuatilia mkutano wa Mbunge wa hapa Mheshimiwa Peter Msigwa uliofanyika kwenye uwanja wa Mwembetogwa.
Mkutano wa mbunge Msigwa ulikuwa na watu wengi
Kumbe mikutano inafanyika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom