Jesca Msambatavangu ndiye nyoka wa SHABA, CCM Iringa Mjini

Salaam wana jamvi!
Naandika uzi huu wa kitafiti kama sehemu ya JAMII TALKS, nikiwa na furaha ya ushindi wa timu yangu Liverpool kutinga fainal ya CL kwa kishindo dhidi ya Barcelona.

Nirudi kwenye mada, last week nimetimiza miezi 4 toka nihamie Iringa kikazi nikiishi eneo la Mkimbizi, nimehamia Iringa nikitokea Mkoa wa Arusha.
Miezi 2 baada ya uenyeji nilianza kufuatilia siasa za Iringa Mjini na siku ya Jumamosi nilibahatika kwa mara ya kwanza kufuatilia mkutano wa Mbunge wa hapa Mheshimiwa Peter Msigwa uliofanyika kwenye uwanja wa Mwembetogwa.
Mkutano wa mbunge Msigwa ulikuwa na watu wengi na ulikaa kisiasa zaidi ingawa huyu Mchungaji sio wa kupuuzwa na kubezwa na CCM kama utafiti wangu unavyoonesha.
Kinywa cha Msigwa mina maneno ya kuudhi na kukera ambayo kwa wafuasi wake bado yanawapa morali na hamasa.
Jimbo la Iringa Mjini ni dogo lenye Kata 18 na Tarafa 1 pekee na limezungukwa na majimbo Kalenga,Kilolo na Isimani ambayo yote yapo CCM kwa Wabunge na Halmashauri.

Kwenye utafiti wangu ndipo nikakutane na jina la JESCA MSAMBATAVANGU almaafuru Madame Jesca.
Nikataka nimfahamu ni nani ndipo nikaanza kumfuatilia kupita maeneo mbalimbali ya wenye kunywa bia hadi ulanzi, wenye kula Mkate hadi Kande, wenye kukaa Uzunguni,Uhindini hadi Uswahilini, wenye kuangalia mpira hotelin hadi vibandaumiza.
Nikaona nafasi ya huyu Madame Jesca kama ndiye NYOKA WA SHABA kwa CCM hapa jimbo la Iringa Mjini.
Nimeambiwa huyu Mama amewahi kuwa Diwani wa kuchaguliwa Kata ya MIYOMBONI KITANZINI ambapo ndio Kata ya mjini aliingia mwaka 2012 kwenye uchaguzi mdogo na kuhudumu hadi mwaka 2015 alipochukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM kuwa mgombea Ubunge lakini hakufanikiwa.
Mwaka huo 2012 akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa na mwaka 2017 mwezi Machi alivuliwa uanachama wake na Kikao cha NEC kilichoketi Dodoma.
Madam Jesca alipata bahati ya kuwa mjumbe wa Bunge la Katiba 2014.
Kisiasa nje ya kuvuliwa uanachama wake inasemekana huyu Mama badi alibaki na imani yake ya Chama Cha Mapinduzi ingawa alikuwa hashiriki mikutano ya kisiasa lakini aliisemea pale CCM ilipokosolewa na kudhihakiwa na wapinzani.
Tarehe 18 Disemba,2018 Madam Jesca aliwekwa chini ya uangalizi maalum wa chama chini ya kikao cha NEC kilichoongozwa na JPM baada ya kuandika barua ya kuomba msamaha baada ya kuvuliwa uanachama na wenzake 12 wakiitwa Wasaliti.
Ila kwenye sherehe za miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM mlezi wao Mzee Mizengo Pinda alimtambulisha na kumpandisha mbele kuwasalimia wanachama wa CCM wa Iringa Mjini.
Wanachama walimshangilia sana na kumuomba mzee Pinda aseme kama chama wamemsamehe na kama bado wanamuombea msamaha kwa Mwenyekiti JPM.
Vijana wa Iringa mjini na Kina Mama ambao ndio wapiga kura wengi wanasema Madam Jesca anafikika kwa ukaribu na hujali sana shida za watu wanyonge, hajivuni na kipato chake zaidi ugawana na wahitaji.
Pia wanasema ni mtu wa kujichanganya kwenye shughuli za kijamii pasipo majivuno.

Nimebahatika zaidi kumfahamu Madame Jesca Msambatavangu mwenye umri wa miaka 43, mkulima na mjasiriamali mwenye shule ya msingi iliyopo Ipogolo na sekondari iliyopo Kitwiru zinajulikana kwa jina la STAR INTERNATIONAL SCHOOLS pia ana duka la kubadilishia fedha( Bureau de Change) ambayo ipo jengo la NSSF Iringa Mjini.
Analima ndani na nje ya Iringa kilimo biashara.

Huyu ndiye JESCA MSAMBATAVANGU ambaye CCM wanatakiwa kumfanya Nyoka wa shaba ili awavushe na kukomboa jimbo la Iringa Mjini.
Kwa utafiti wangu sijaona mwingine zaidi yake ingawa wapo wanaosemwa.
Alipata ajali ya kisiasa ila amesimama imara.

Wasalaam,

Dk Julius Nnko
Hospital ya Rufaa Iringa
Mkimbizi.View attachment 1091253View attachment 1091254
Mgeuze na kwa nyuma ili tuhuone pia msalambwanda wake kama utawafaa wakubwa wa ccm, c wajua ili upitishwe ktk ama UDC km wa kisarawe vile, uRC, uDAS lzm wakubwa wa ccm wakutathmini kote kote???
 
Dr
Yaani ndani ya miezi minne uliyokaa Iringa tayari umeshafanya utafiti na kutoka na matokeo?? Miezi minne utibu wagonjwa na wakati huo huo ufanye utafiti? Nafikiri ulichoandika ni umbea na maneno ya vijiweni ambapo wewe ni mwanachama. Nachelea kusema kuwa wewe ni mtu wa ovyo, na hata napata shaka sana na elimu pamoja na uwezo wako.
hata mimi nina shaka ya elimu ya huyu Dr. yaani anaandika vitu bila utafiti wowote wa maana hakuna mahala anatumia facts, logic au hata evidence kujenga hoja yake zaidi ya kusikia, nimeambiwa na wanywa ulanzi hivi mtu anayejiita Dr u would think he can do better than this..utegemei mtu kuandika article based on umbea mtupu..fanya hata scientific poll ndogo yenye sample nzuri then uandike article based on poll results na sio huu umbea.
 
Mchungaji Msigwa ni muwanji wa Matamba huko makete mkoani Njombe!
Sifa ya kwanza
-ni lazima uwe binadamu
Sifa ya pili ni lazima utimize sifa ya kwanza
Hayo mengine ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine. Una uhakika gani kama Mch. Msigwa ni muwanji? Uliambiwa na mama yake? Eti muwanji! Yule ni mtu kama watu. Uwanji wake atautumia kwenye matambiko. Muache kuwa wabaguzi!
 
Mbwiga....... Mtu kwao !
 
Salaam wana jamvi!
Naandika uzi huu wa kitafiti kama sehemu ya JAMII TALKS, nikiwa na furaha ya ushindi wa timu yangu Liverpool kutinga fainal ya CL kwa kishindo dhidi ya Barcelona.

Nirudi kwenye mada, last week nimetimiza miezi 4 toka nihamie Iringa kikazi nikiishi eneo la Mkimbizi, nimehamia Iringa nikitokea Mkoa wa Arusha.
Miezi 2 baada ya uenyeji nilianza kufuatilia siasa za Iringa Mjini na siku ya Jumamosi nilibahatika kwa mara ya kwanza kufuatilia mkutano wa Mbunge wa hapa Mheshimiwa Peter Msigwa uliofanyika kwenye uwanja wa Mwembetogwa.
Mkutano wa mbunge Msigwa ulikuwa na watu wengi na ulikaa kisiasa zaidi ingawa huyu Mchungaji sio wa kupuuzwa na kubezwa na CCM kama utafiti wangu unavyoonesha.
Kinywa cha Msigwa mina maneno ya kuudhi na kukera ambayo kwa wafuasi wake bado yanawapa morali na hamasa.
Jimbo la Iringa Mjini ni dogo lenye Kata 18 na Tarafa 1 pekee na limezungukwa na majimbo Kalenga,Kilolo na Isimani ambayo yote yapo CCM kwa Wabunge na Halmashauri.

Kwenye utafiti wangu ndipo nikakutane na jina la JESCA MSAMBATAVANGU almaafuru Madame Jesca.
Nikataka nimfahamu ni nani ndipo nikaanza kumfuatilia kupita maeneo mbalimbali ya wenye kunywa bia hadi ulanzi, wenye kula Mkate hadi Kande, wenye kukaa Uzunguni,Uhindini hadi Uswahilini, wenye kuangalia mpira hotelin hadi vibandaumiza.
Nikaona nafasi ya huyu Madame Jesca kama ndiye NYOKA WA SHABA kwa CCM hapa jimbo la Iringa Mjini.
Nimeambiwa huyu Mama amewahi kuwa Diwani wa kuchaguliwa Kata ya MIYOMBONI KITANZINI ambapo ndio Kata ya mjini aliingia mwaka 2012 kwenye uchaguzi mdogo na kuhudumu hadi mwaka 2015 alipochukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM kuwa mgombea Ubunge lakini hakufanikiwa.
Mwaka huo 2012 akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa na mwaka 2017 mwezi Machi alivuliwa uanachama wake na Kikao cha NEC kilichoketi Dodoma.
Madam Jesca alipata bahati ya kuwa mjumbe wa Bunge la Katiba 2014.
Kisiasa nje ya kuvuliwa uanachama wake inasemekana huyu Mama badi alibaki na imani yake ya Chama Cha Mapinduzi ingawa alikuwa hashiriki mikutano ya kisiasa lakini aliisemea pale CCM ilipokosolewa na kudhihakiwa na wapinzani.
Tarehe 18 Disemba,2018 Madam Jesca aliwekwa chini ya uangalizi maalum wa chama chini ya kikao cha NEC kilichoongozwa na JPM baada ya kuandika barua ya kuomba msamaha baada ya kuvuliwa uanachama na wenzake 12 wakiitwa Wasaliti.
Ila kwenye sherehe za miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM mlezi wao Mzee Mizengo Pinda alimtambulisha na kumpandisha mbele kuwasalimia wanachama wa CCM wa Iringa Mjini.
Wanachama walimshangilia sana na kumuomba mzee Pinda aseme kama chama wamemsamehe na kama bado wanamuombea msamaha kwa Mwenyekiti JPM.
Vijana wa Iringa mjini na Kina Mama ambao ndio wapiga kura wengi wanasema Madam Jesca anafikika kwa ukaribu na hujali sana shida za watu wanyonge, hajivuni na kipato chake zaidi ugawana na wahitaji.
Pia wanasema ni mtu wa kujichanganya kwenye shughuli za kijamii pasipo majivuno.

Nimebahatika zaidi kumfahamu Madame Jesca Msambatavangu mwenye umri wa miaka 43, mkulima na mjasiriamali mwenye shule ya msingi iliyopo Ipogolo na sekondari iliyopo Kitwiru zinajulikana kwa jina la STAR INTERNATIONAL SCHOOLS pia ana duka la kubadilishia fedha( Bureau de Change) ambayo ipo jengo la NSSF Iringa Mjini.
Analima ndani na nje ya Iringa kilimo biashara.

Huyu ndiye JESCA MSAMBATAVANGU ambaye CCM wanatakiwa kumfanya Nyoka wa shaba ili awavushe na kukomboa jimbo la Iringa Mjini.
Kwa utafiti wangu sijaona mwingine zaidi yake ingawa wapo wanaosemwa.
Alipata ajali ya kisiasa ila amesimama imara.

Wasalaam,

Dk Julius Nnko
Hospital ya Rufaa Iringa
Mkimbizi.View attachment 1091253View attachment 1091254
Huyu alikuwa Mwl wangu kipindi hicho ameolewa na luvanda. Nilikuwa mwanafunzi wake pale Jega Njombe mjini na baadae Livingston kibena Njombe . Ambapo walipoachana na mume wake luvanda miaka ya 2000 mwanzoni alikwendaga kuanzisha star international school Iringa Mjini. Jesca alikuwa Mwl mzuri na alikuwa anajua kutacare wanafunzi . Kwa kipindi nikiwa mdogo ndio ninavyoweza kumu assess kihivyo
 
Msigwa ni majina ya watu kabila la wabena na wengine wakinga
Msigwa ni Mwanji. Jee hiyo inamnyima sifa za kuwa Mbunge wa Iringa mjini ama ni ugonjwa tu wa wana CCM kushabikia ukabila?
 
Msigwa amekulia Iringa na ni miongoni mwa wauza mitumba wa mwanzo kabisa pale miyomboni.

Hivyo kuwawakilisha wanyalu pale mjengoni ni haki yake kabisa!
Kuna watu hawajui kwamba tuna Naibu Meya ambaye ni Diwani wa Kata ya Kwakilosa (CCM) ambaye ni Msafwa na hapa Iringa hana hata miaka 15 tangu afike wakati Msigwa ana miaka zaidi ya 30 hapa Mjini.
 
Wewe Mheshimiwa

unafahamu Kihehe? Msavatavangu maana yake inajipinga yenyewe (contradictory in terms) Msambatavangu ndiyo Kihehe kinachoeleweka. Ni sifa ya kivita kwa mpiganaji aliyepewa jukumu maalum (kusamba) wakati Wahehe wakipigana na maadui wa wakati huo wa zamani!
Sawa mkuu, point yangu kubwa ilikua sio hasa usahihi wa jina lake but nilicho pingana na huyu niliye m quote ni UJINGA wa kuona eti kwakua Jesca alikua upande wa Lowassa ndio eti asifikiriwe na mhe rais wa sasa tu kwasababu alizima mic wakati mhe Magufuli anaongea. Hivi kweli kabisa kwa mtu anae fikiria vizuri, wagombea wa ccm tu walikua Zaidi ya 40, unataka kweli wana ccm hao hao wasiwe na kambi? Ni ujinga uliopilitiza kufikiria hivyo, na kama bado wanaamini hivyo then huko ccm hakuna sababu ya watu kua na akili zao wao wenyewe, kila kitu lazima wafikiriwe na mtu mwingine na wasihubiri demokrasia na pia wasikosoe wengine as well.
 
Sifa ya kwanza
-ni lazima uwe binadamu
Sifa ya pili ni lazima utimize sifa ya kwanza
Hayo mengine ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine. Una uhakika gani kama Mch. Msigwa ni muwanji? Uliambiwa na mama yake? Eti muwanji! Yule ni mtu kama watu. Uwanji wake atautumia kwenye matambiko. Muache kuwa wabaguzi!
Kutaja kabila la mtu niubaguzi ?
 
Salaam wana jamvi!
Naandika uzi huu wa kitafiti kama sehemu ya JAMII TALKS, nikiwa na furaha ya ushindi wa timu yangu Liverpool kutinga fainal ya CL kwa kishindo dhidi ya Barcelona.

Nirudi kwenye mada, last week nimetimiza miezi 4 toka nihamie Iringa kikazi nikiishi eneo la Mkimbizi, nimehamia Iringa nikitokea Mkoa wa Arusha.
Miezi 2 baada ya uenyeji nilianza kufuatilia siasa za Iringa Mjini na siku ya Jumamosi nilibahatika kwa mara ya kwanza kufuatilia mkutano wa Mbunge wa hapa Mheshimiwa Peter Msigwa uliofanyika kwenye uwanja wa Mwembetogwa.
Mkutano wa mbunge Msigwa ulikuwa na watu wengi na ulikaa kisiasa zaidi ingawa huyu Mchungaji sio wa kupuuzwa na kubezwa na CCM kama utafiti wangu unavyoonesha.
Kinywa cha Msigwa mina maneno ya kuudhi na kukera ambayo kwa wafuasi wake bado yanawapa morali na hamasa.
Jimbo la Iringa Mjini ni dogo lenye Kata 18 na Tarafa 1 pekee na limezungukwa na majimbo Kalenga,Kilolo na Isimani ambayo yote yapo CCM kwa Wabunge na Halmashauri.

Kwenye utafiti wangu ndipo nikakutane na jina la JESCA MSAMBATAVANGU almaafuru Madame Jesca.
Nikataka nimfahamu ni nani ndipo nikaanza kumfuatilia kupita maeneo mbalimbali ya wenye kunywa bia hadi ulanzi, wenye kula Mkate hadi Kande, wenye kukaa Uzunguni,Uhindini hadi Uswahilini, wenye kuangalia mpira hotelin hadi vibandaumiza.
Nikaona nafasi ya huyu Madame Jesca kama ndiye NYOKA WA SHABA kwa CCM hapa jimbo la Iringa Mjini.
Nimeambiwa huyu Mama amewahi kuwa Diwani wa kuchaguliwa Kata ya MIYOMBONI KITANZINI ambapo ndio Kata ya mjini aliingia mwaka 2012 kwenye uchaguzi mdogo na kuhudumu hadi mwaka 2015 alipochukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM kuwa mgombea Ubunge lakini hakufanikiwa.
Mwaka huo 2012 akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa na mwaka 2017 mwezi Machi alivuliwa uanachama wake na Kikao cha NEC kilichoketi Dodoma.
Madam Jesca alipata bahati ya kuwa mjumbe wa Bunge la Katiba 2014.
Kisiasa nje ya kuvuliwa uanachama wake inasemekana huyu Mama badi alibaki na imani yake ya Chama Cha Mapinduzi ingawa alikuwa hashiriki mikutano ya kisiasa lakini aliisemea pale CCM ilipokosolewa na kudhihakiwa na wapinzani.
Tarehe 18 Disemba,2018 Madam Jesca aliwekwa chini ya uangalizi maalum wa chama chini ya kikao cha NEC kilichoongozwa na JPM baada ya kuandika barua ya kuomba msamaha baada ya kuvuliwa uanachama na wenzake 12 wakiitwa Wasaliti.
Ila kwenye sherehe za miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM mlezi wao Mzee Mizengo Pinda alimtambulisha na kumpandisha mbele kuwasalimia wanachama wa CCM wa Iringa Mjini.
Wanachama walimshangilia sana na kumuomba mzee Pinda aseme kama chama wamemsamehe na kama bado wanamuombea msamaha kwa Mwenyekiti JPM.
Vijana wa Iringa mjini na Kina Mama ambao ndio wapiga kura wengi wanasema Madam Jesca anafikika kwa ukaribu na hujali sana shida za watu wanyonge, hajivuni na kipato chake zaidi ugawana na wahitaji.
Pia wanasema ni mtu wa kujichanganya kwenye shughuli za kijamii pasipo majivuno.

Nimebahatika zaidi kumfahamu Madame Jesca Msambatavangu mwenye umri wa miaka 43, mkulima na mjasiriamali mwenye shule ya msingi iliyopo Ipogolo na sekondari iliyopo Kitwiru zinajulikana kwa jina la STAR INTERNATIONAL SCHOOLS pia ana duka la kubadilishia fedha( Bureau de Change) ambayo ipo jengo la NSSF Iringa Mjini.
Analima ndani na nje ya Iringa kilimo biashara.

Huyu ndiye JESCA MSAMBATAVANGU ambaye CCM wanatakiwa kumfanya Nyoka wa shaba ili awavushe na kukomboa jimbo la Iringa Mjini.
Kwa utafiti wangu sijaona mwingine zaidi yake ingawa wapo wanaosemwa.
Alipata ajali ya kisiasa ila amesimama imara.

Wasalaam,

Dk Julius Nnko
Hospital ya Rufaa Iringa
Mkimbizi.View attachment 1091253View attachment 1091254
Siku mh JPM akiwa kwenye kampeni iringa
Huyu mama akiwa mwenyekit ccm mkoa
Jpm alipoanza kuhutubia mama huyu akazunguka nyuma ya jukwaa akazima jenereta.
[emoji23][emoji23] usaliti utamtafuna ingawa huyu mama akipewa jukwaa ndio utajua n nan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom