Jerry Slaa kujenga soko Kisutu

Jerry Slaa kujenga soko Kisutu

hivi mkuu hata wewe unaweza kudanganywa na mtu wa kawaida sana kama jerry !
 
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba.

Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasindikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.

Hiyo ilikuwa ni opinion yangu. Ningekuwa wewe nisingefanya kitu kama hicho tu, ningefanya kitu zaidi ya hicho ulichopendekeza. I am glad you are in JF and you replied to this thread ili ujisafishe, however, hii imekuwa fursa tosha kuonyesha umma namna viongozi wanavyo nia madogo, badala ya kunia makubwa.

Uongozi sio sifa mbele za watu, uongozi ni kufanya jambo bora katika wakati husika. Nakupongeza kwani uwezo wenu ndio umeishia hapo, hamuoni kitu kingine bora zaidi ya hicho kukifanya hapo Kisutu. Have a nice day brother!
 
Wanajenga lini wakati muda wa madiwani pamoja ma Meya umeisha na madiwani wapya bado hawajachaguliwa.

Ya kampeni ya uchaguzi kama Lema na hospital ya kufikirika.
 
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba.

Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasindikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.

Hivi Jerry utamdanganya nani mkuu? One week to go ndio unaleta uongo? Wewe si ulichagua matanuzi Dubai, endelea nayo. Kwa taarifa yako, tumetuma timu ya uchunguzi manispaa ili tujue gharama halisi ya yale masanamu yasijulikana hata kabila lake uliyoweka round about , taarifa utapewa .
 
Hiyo ilikuwa ni opinion yangu. Ningekuwa wewe nisingefanya kitu kama hicho tu, ningefanya kitu zaidi ya hicho ulichopendekeza. I am glad you are in JF and you replied to this thread ili ujisafishe, however, hii imekuwa fursa tosha kuonyesha umma namna viongozi wanavyo nia madogo, badala ya kunia makubwa.

Uongozi sio sifa mbele za watu, uongozi ni kufanya jambo bora katika wakati husika. Nakupongeza kwani uwezo wenu ndio umeishia hapo, hamuoni kitu kingine bora zaidi ya hicho kukifanya hapo Kisutu. Have a nice day brother!

Alipewa nafasi akaichezea safari hii hapenyi hata kwa grisi , muda wake umekwisha , term hii hatutaki viongozi wa majaribio , vijana wanalilia nafasi lakini wakipewa wanaboronga!
 
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba. Sio wewe peke yako ndio una akili. Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasi dikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.
Hili limeisha, tafuta lingine.

Wewe mtoto sikiliza, upumbavu huu uwe unaandika Facebook kuwapumbaza madem zako na mashoga wenzako, hapa tupo watu wazima.

Ulisaidiwa na Reginald Mengi na Lowasa kwa rushwa mpaka ya madiwani kuhongwa magari kuwa meya wetu wa Ilala kumbe wewe ni mpuuzi kuliko Abuu Jumaa, usituzidishie hasira wewe siyo meya tena wala siyo diwani tena, unapata wapi credibility ya kudanganya hapa JF kwamba utafanya hili na lile wakati wewe huna madaraka yoyote? Umepewa nafasi umeshindwa kuitumia kaa kimya usituongezee hasira gay wewe.
 
crabat, tangia hapo mwanzo huyo dogo ni diwani wa huko mazizini ukonga. achana na huo umeya wake ambao ni matokeo tu.
lakini anashangaza, anaandika as if ana uhakika wa kuchaguliwa tena.
 
Last edited by a moderator:
Nikiisoma hii post yako nakuona kama bepari vile. Lakini hata hivyo, Jerry sio meya tena labda hilo soko atalijenga ndotoni au mitandaoni. kwa hiyo wala usipate shida kwa hilo.
 
Mm nadhani bwana silaa angeacha angalau kitega uchumi kimoja kikubwa mbele ya airport namaanisha maeneo ua ukonga pengine angekumbukwa zaidi.
 
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba.

Sio wewe peke yako ndio una akili. Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasi dikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.

Ukidumu kwenye huu mjadala utathibisha uwezo wako. . . . . . .all the best
 
Halimashauri imeshavunjwa jana , anafikiri bado ni Meya ? Atajenga kwa fedha yake au ? maana hakuna cha Halimashauri hapo

Na kwa nini hakulijenga muda aliokuwa meya, ila anaahidi kulijenga baada ya muda wake kwisha? Au ndiyo kusema campaign mode activated?
 
Mtikila atakuongeza kwenye list ya Membe na Lowassa mahakani ndugu yangu Jerry
 
Back
Top Bottom