Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,461
- 271,997
hivi mkuu hata wewe unaweza kudanganywa na mtu wa kawaida sana kama jerry !
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba.
Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasindikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.
Wanajenga lini wakati muda wa madiwani pamoja ma Meya umeisha na madiwani wapya bado hawajachaguliwa.
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba.
Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasindikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.
Hiyo ilikuwa ni opinion yangu. Ningekuwa wewe nisingefanya kitu kama hicho tu, ningefanya kitu zaidi ya hicho ulichopendekeza. I am glad you are in JF and you replied to this thread ili ujisafishe, however, hii imekuwa fursa tosha kuonyesha umma namna viongozi wanavyo nia madogo, badala ya kunia makubwa.
Uongozi sio sifa mbele za watu, uongozi ni kufanya jambo bora katika wakati husika. Nakupongeza kwani uwezo wenu ndio umeishia hapo, hamuoni kitu kingine bora zaidi ya hicho kukifanya hapo Kisutu. Have a nice day brother!
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba. Sio wewe peke yako ndio una akili. Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasi dikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.
Hili limeisha, tafuta lingine.
Hii nchi kwa michoro,...hatari
Hahaha, usanii wa hatari!! Ameona harudi tena, anaanza kuleta michoro ya kijinga hapa!!
Kabla hujaanza conclusion ni vyema ungeanza na kuuliza soko hili litakuwa na facilities gani. Pili ukae ukijua sio watanzania wote wakiwemo wakazi wa Ilala wana fursa ya kwenda mlimani city. Bado watu wanahitaji masoko yao wanunue nyanya na michele. Na labda hujawahi kwenda soko la kisutu. Hakuna mchele wala nyanya za vibaba.
Sio wewe peke yako ndio una akili. Wanapima kwa kilo na naamini soko la kisasa litawapa fursa kubwa zaidi wasi dikaji wa ndani kuuza bidhaa. Tutajenga hili, tutajenga Ilala na Buguruni na tutajenga Mchikichini sisi wa Gongolamboto tukanunue mitumba wakati wakubwa mko mlimani city.
Halimashauri imeshavunjwa jana , anafikiri bado ni Meya ? Atajenga kwa fedha yake au ? maana hakuna cha Halimashauri hapo