Ukiona kobe juu ya mti . . .
..kaacheni haka kameya bado katoto kakikuwa kataacha simumeona kilivyo katoto bado kanapenda vikatuni ndio maana kamewaka vikatuni kila raundabout na picha zake kila mahala... vile visamaki na vimitumbwi amevitengeneza mwenyewe na wtt wenzakeWewe huna akili, jamaa ni jembe la Ccccm; vission anayo ya kuwa mbunge wa UK, maendeleo mpaka kuwa ameweka picha ferry na kupiga cement na vyuma shakavu round zetu kama vile ilala hakuna fresh grass, ila round about nzuri .ni ya poster kuliko ya mayor ya scraper
Umeanzaaa!!!!!!!
Na kifaranga juu ya figa???
Ondoa MakambaTanzania viongozi vijana karibu wote ni wajinga wajinga tu kwasababu vijana wengi wenye vipaji hawapendi siasa. Nimeona wengi Nape, Mwigiru, Mr 2 wote wajinga wajinga tu na upeo mdogo sana inasikitisha. Vijana wenye akili ni watatu tu Mnyika, Zitto na Makamba.
Wivu tu unakusumbua! At his age and position kafanya mengi mazuri.
Hivi bado unakaa kwa Dadayako pale NHC?
..kaacheni haka kameya bado katoto kakikuwa kataacha simumeona kilivyo katoto bado kanapenda vikatuni ndio maana kamewaka vikatuni kila raundabout na picha zake kila mahala... vile visamaki na vimitumbwi amevitengeneza mwenyewe na wtt wenzake
nimecheka almanusura kuchana mbavu !
Uongozi Tanzania ni mzigo mzito. Ni rahisi kumnyoshea mtu kidole kwamba hana lolote, lakini wewe ukiingia kwenye ofisi hiyo utajikuta pia huwezi kufanya chochote cha maana. Jery and vision na anachapa kazi kama meya. Lakini lazima ujue majukumu na wajibu wa meya. Ukiongelea swala la mipango miji na usafi kwa mfano, utakuta tatizo kubwa ni Wananchi (Sisi) wenyewe pamoja na hao wanaoitwa 'Watendaji". Hawa watendaji hawagusiki, ukiwagusa tu, ndo umekwisha.
Ili utekeleze plan na vision zako unahitaji fedha. Unahitaji fedha kwenye elimu, afya, miundombinu n.k. Asilimia 80 ya wakazi wa dar hawalipi kodi na mapato mengine. Hadi upeleke mgambo. Ukipeleka mgambo unaambiwa unanyanyasa wananchi. Utapata wapi fedha za kutekeleza hayo mambo.
Mfumo wetu mzima wa uendeshaji serikali kuu na serikali za mitaa una matatizo. Wananchi wenyewe ni tatizo zaidi. Kila mtu anajiangalia mwenyewe, hatuna vision. Hata kuweka mazingira yetu safi hadi tusukumwe.
Kabla ya kumlaumu ungeenda uangalia bajeti ya ilala na vipaumbele vyao. Angalia vyanzo vyao vya mapato, angalia wanakusanya shs ngapi na wanazitumiaje, angalia changamoto wanazokutana nazo. Kisha uje hapa utoe alternative bajeti na plan.
Jamaa wewe kilaza kweli umeandika nini hiki mkuu mbona jery anafanya mambo mengi tu ya maana tena kajipanga kweli pengine mnayenu ya pembeni hujayasema hapa vinginevyo ni chuki binafsi.
Ni jambo la kushangaza sana kama unaona watanzania wanazidi kushabikia maovu ya viongozi badala kuwa kitu kimoja na kuweza kutengeneza agenda ya kuweza kutatua na kuwaondoa wabovu wanaosababisha nchini hii na raia wake kuitwa masikini!
I never like Jery and his dad, Slaa
+.....yako=ubunge wake mkuu jamaa anasafishiwa ubunge kwahiyo hata hizo hela mkuu ni za kuoambana 2015fisadi huyu.ngojeni ntawaletea nyaraka huyu dogo anavyopiga dili mjini na wahindi