JERRY SILAA: Meya wa Ilala asiye na mission wala coherent vision

JERRY SILAA: Meya wa Ilala asiye na mission wala coherent vision

CRITICAL MIND

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
416
Reaction score
404
5402161425_c8cf2a0aa7_o.jpg

Hivi huyu jamaa ametokea wapi? I'm fed up naye na hasa kule kwenye twitter ambako anatoa majibu mepesi mepesi na saa zingine hatoi majibu kabisaaa. Over the weekend, I asked some pretty smart and politically savvy friends (the Intelligentsia types) if they could tell me what Jerry Silaa, or most other senior fat cats at the City Hall actually believed in. Did they have a set of core ideas for Ilala and Dar as a while? Was there any sense of joined up thinking? ............Blank faces all around.

Huyu ni meya wa Ilala ambako karibuni kila wizara iko chini ya himaya yake...including Ikulu lakini so far toka awe meya sioni chochote alichokifanya kuanzia CBD mpaka mipango miji. I cant tell you how many times nimemuuliza huyu Jerry iko wapi vision yake ya Ilala na mission yake hasa ni nini hanipi majibu. Nimemuuliza kwa nini bustani zinafungwa hanijibu, nimemuuliza kwa nini hawatengenezi traffic lights ili kazi ya traffic officers iwe ni ku enforce the laws hanijibu, namuuliza ana mipango gani ya kutatuoa tatizo la nyumba wilaya ya Ilala hanijibu etc.

Najua asubuhi yeye au watu wake na wafuasi wake kwenye twitter watakuja hapa kumtetea but let me clear kabla hatujafika mbali: He does have VISION in the sense that he constantly looks forward to attending fashion shows and of course he's also looking forward to a successful re-election and perhaps a vibrant future for a parliamentary seat in Dar and UKONGA in particular. But having VISION and having A VISION, are two different things, though it is not certain many of his cheerleaders know the difference.

But after 3 years as Ilala's Mayor, his Achilles heel is clear: Mr Silaa doesn't have a credible plan to deal with the capital or Ilala's rapid expansion. The city's population, which is currently 5.2m, is projected to reach 10m within few years. Silaa & Ma------'s's response? Reams of warm words from these two jokers, but little attempt to put in place the housing, transport and other infrastructure that a city like Dar requires.

At the end of the day, we all know that Dar needs a plan-both to become a bigger world city and also a better place for those who live and work in it. Those who say that a city with ancient roots, like Dar, cannot be planned are wrong. Other cities around the world have showed how it can be done.

Please dont get me started on the Dar's awful structures but the blame goes to NHC's Nehemia Mchechu, Minister Tibaijuka, Ma------, our so called city planners with their mickey Mouse degrees, and of course our gutter architects/consultants who continue to blight us with structures that make Brazil's favelas look like Beverly hills.

Did I mention we have no idea how they're spending their revenues? Apparently its a TOP SECRECT...so much so of OPEN GOVERNMENT INITATIVE.
 
CRITICAL MIND Wewe huna akili, jamaa ni jembe la CCM; vission anayo ya kuwa mbunge wa UK, maendeleo mpaka kuwa ameweka picha ferry na kupiga cement na vyuma shakavu round zetu kama vile ilala hakuna fresh grass, ila round about nzuri .ni ya poster kuliko ya mayor ya scraper
 
Last edited by a moderator:
Jamaa wewe kilaza kweli umeandika nini hiki mkuu mbona jery anafanya mambo mengi tu ya maana tena kajipanga kweli pengine mnayenu ya pembeni hujayasema hapa vinginevyo ni chuki binafsi.
 
Jamaa wewe kilaza kweli umeandika nini hiki mkuu mbona jery anafanya mambo mengi tu ya maana tena kajipanga kweli pengine mnayenu ya pembeni hujayasema hapa vinginevyo ni chuki binafsi.

one day tutakaa kujadili, where is dar es salaam??? we are killing the history for peanut money

no strategy, no vision whatsoever... just one goal, personal goal,
 
Fisadi huyu.Ngojeni ntawaletea nyaraka huyu dogo anavyopiga dili mjini na wahindi
 
one day tutakaa kujadili, where is dar es salaam??? we are killing the history for peanut money

no strategy, no vision whatsoever... just one goal, personal goal,
Mkuu nakubaliana na hili na tuache politics aside.

Dar kwa kweli ni a big slum, na si Ilala peke yake.
personal initiatives za wananchi ni za kasi kuliko za City Fathers, na ni dhahiri viongozi wa Jiji hawana idea ya kuliendesha Jiji.
ukiwa kwenye ndege ndo utaona uozo wa Dar- na plannned settlements,tofauti na maJiji yaliyokiwa planned.
Tanga iliyokuwa planned zaidi ya miaka 100 iliyopita is far better off.
Watu kama Jerry Slaa sijui kama ana training au exposure ya kuweza kumsaidia majukumu yake.
 
Heshima mbele,

many dont see it that way hasa hao tuliowakabidhi dhamana... wanaishia kupigana vita na tanroads kuhusu mabango, wanaazika identity ya dar es salaam... hata salamander walibomoa wakisema wao wanaanglia kipato tu cha ilala???

the moment i learned that, nilinawa mikono

hawana vision, wana mission... nayo ni kujiwekea nafasi

we have aslum, and we are destroying history, and they are smiling
 
Tanzania viongozi vijana karibu wote ni wajinga wajinga tu kwasababu vijana wengi wenye vipaji hawapendi siasa. Nimeona wengi Nape, Mwigiru, Mr 2 wote wajinga wajinga tu na upeo mdogo sana inasikitisha. Vijana wenye akili ni watatu tu Mnyika, Zitto na Makamba.
 
huyu dogo badala ya kufanya kazi aliyochaguliwa yeye kutwa kufungua domo lake kuitukana CHADEMA,hakuna chema kinachoweza kutoka CCM.
 
Jamaa wewe kilaza kweli umeandika nini hiki mkuu mbona jery anafanya mambo mengi tu ya maana tena kajipanga kweli pengine mnayenu ya pembeni hujayasema hapa vinginevyo ni chuki binafsi.

Yaweke hapa hayo mengi ya maana ili um prove wrong mleta mada...
 
Jamaa wewe kilaza kweli umeandika nini hiki mkuu mbona jery anafanya mambo mengi tu ya maana tena kajipanga kweli pengine mnayenu ya pembeni hujayasema hapa vinginevyo ni chuki binafsi.

Yepi hayo mengi???!!!!
Kajipanga bila realization???!!Who cares???!!
Vijana wengi wanayumba tu kwa obsession ya vyama na siasa kama sio ambition binafsi kuliko Taifa kwa ujumla!!!!!

Nakubaliana na hoja kuwa vichwa hawaingii siasa sababu wanapima kutoka nje na kuona kabisa kuwa it needs to abandon yourself to lead as a youth!!!!! Nani yuko tayari kwa suicide??????!!!!!

Na kama anazo hizo vision na mission aweke hapa tuone feasibility na sustainability!!!!!
 
Tatizo la vijana wengi wanaacha kufanya kazi yakuwatetea wananchi na kukubali kutumiwa,,,,hii yote ni kwasababu wamekubali kuwa wachumia tumbo,,,tunasubiri vita yake na makongoro mahanga 2015
 
Barabara zinapogeuka kuwa soko huku mamlaka Zikiona tija.
 
Ni kweli. From the air Dar es Salaam is a big slum. Mchechu tulifikiri ana maono - kumbe naye kama wao. Badala ya kuhifadhi majengo ya zamani yenye historia and a lot of Architectural features wao wanayabomoa. Pote duniani kwa wenye akili kuna old cities. Kwa kasi hii ya bomoa omoa Dar es Salaam kutakua hakuna historia. Angalia kampeni ya Slaa na utalii wa mabati kwenye round-abouts. Hapo nafikiri ni 10% tu ndiyo iliyokua kigezo. Hebu atembelee Americal Embassy pale Msasani ndiyo akajifunze jinsi ya kupendezesha jiji. Kwa hiyo ipo haja ya kuangalia utendaji wa hawa vijana ambao uwezo wao kiakili na kiuongozi ni wa kutia shaka sana.
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndugu yangu ndio wale wale bora liende walishaandaliwa waje watawale na si kuongoza maana uongozi ni kuonesha njia ikiwa kuwa na malengo.mikakati. na njia(vision.mission.programmes.plan.strategies and hows to...methods to achieve the goals) hawa wapo kusubiri maandamano dhidi yao ili waue wang'oe watu meno na kutoboa macho
 
Yupo kupiga deal zaidi.Na ndio vision yake.kama na hili hamtaki siwalazimishi.ila jueni hivyo.
 
Naaamini Jerry ni member humu JF na aliwahi kuja kujibu threads kipindi fulani

I'm sure atakuja tuuuu

vuta subira
 
Jamaa wewe kilaza kweli umeandika nini hiki mkuu mbona jery anafanya mambo mengi tu ya maana tena kajipanga kweli pengine mnayenu ya pembeni hujayasema hapa vinginevyo ni chuki binafsi.
katika wanaccm wachache ninao wakubali,this dude is among them.... tuacheni unafiki kijana anajitahidi kadri ya uwezo wake,,mimi si ccm lkn akigombea ubunge wa ukonga i support him for that....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom