Jerry Silaa: CAG amempongeza Rais Samia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,469
Reaction score
14,771
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa akizungumza na Clouds FM amesema

"Ukisikiliza ile ripoti ya CAG utaona Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ile Ibara ya 143, Ibara ndogo ya 4 ya Katiba ya kupokea taarifa na kufikisha bungeni. Ni suala la katiba. Ambalo pengine Serikali ingeona kuna tatizo kubwa ingetafuta njia yoyote ya kuweza kuitafutia sababu... Lakini Mhe Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya hivyo kwa miaka yote Minne akiwa kwenye uongozi wake"

Your browser is not able to display this video.
 
 

Attachments

  • 1743139078744.png
    308.6 KB · Views: 19
  • 1742141954678.jpeg
    61.7 KB · Views: 20
Hivi ni kwanini mnamfanya huyu mama kama mtoto mdogo asiyekuwa na fikra?

Kwamba CAG kampongeza Rais!? Real??

Hebu jameni tumpeni Rais sifa na heshima anayostahili.
 
Mambo aliyoongea huyu ndugu wa tom yanatia kinyaa...
 
Chawa pro max aliyevimbiwa kodi za wananchi ili aendelee kupewa nafasi ya kutafuna tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…