Jerry Silaa amesahaulika sana, napendekeza apewe ukuu wa mkoa wa Dar

Mmoja wa wauza ngada na masalia ya lowassa na mbaya zaid anawatumia vijana wa marehem masaburi kule chanika kupakia mizigo yao ya unga.... Hafai kabsa yule..

Makonda ametosha na atatosha miaka buku
 
Mmoja wa wauza ngada na masalia ya lowassa na mbaya zaid anawatumia vijana wa marehem masaburi kule chanika kupakia mizigo yao ya unga.... Hafai kabsa yule..

Makonda ametosha na atatosha miaka buku
Sio kulialia taja jina ashughulikiwe
 
UVCCM huwa wanamwita masalia ya Lowassa..

Nafikiri ukaribu wake na EL toka akiwa PM na baada ya ndio unaomfanya aonekane hafai.

Lakini kiuongozi anaonekana kuwa na hekima na busara kuliko Mwizi wa Vyeti.
Fafanua vizuri hapo mwishoni kama hutajali
 
alishindwa ubunge kwa dharau yake kwa wazee pale goms, ataweza uRC...??/
 
mwambie awe anajipendekeza kama daudi bashite atapewa cheo hiyo ni moja ya vigezo vya kupewa madaraka
 
Hapo ndipo ilipo hekima ya CCM wakishakutumia wanakutupa, JUZI JUZI Mtoto wa mwimba tarabu wao pamoja na mama yake walilia chama kimewatelekeza dogo akaenda mbali zaidi na kudai hata kuhitimu shule huenda ukawa mtihani
 
Huyu kijana alikuwa mahili kuiongoza manispaa ya Ilala kwa nafasi ya meya 2010-2015.

Amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi kwa muda sasa. Ni wakati sasa mkulu amkumbuke ampe nafasi hii aweze kuwatumikia wanadalisalama.
hiyu apotee. baada ya kupatapata visenti kwenye uongozi alionesha kudharau hadharani fikra za mwalimu nyerere. binafsi niliona bila shaka anafaidika na ufisadi uliyokua umetawala kipindi hicho cha jk.
 
Kwa jinsi kijana Jeri Slaa alivyo smart na ukizingatia Mkulu ni muumini wa vijana kuna kila dalili aweza kuteuliwa kuchukua nafasi ya Makonda kwa sasa.
Nini maoni yako?
 
Back
Top Bottom