Jerry SlaaMimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa Meya wa Ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la Ukonga, swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa?Maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
Mkuu. Kweli? Alishaota mapembe kumbe?Akiwa Meyaaaa alimjibu ovyooo waiziri dhamana wa madaraja ati haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwaaaa
Wacha aisome namba
Anafanya sasa mitihani ili awe WAKILIAendelee kuwa Mkandarasi na Suppliers wa mafuta
Mkuu mi nacheka tu leo. Jamaa walikuwa kama majuha.....!Mkuu nmepata kusikia stivu nyerereee yule msanii anasema
"ambao hatukuokota nao kuni ndo wameenda kuota moto"
statement kali sana hiyo...mana jamaa walikuwa kama majuha majukwaani wakitegemea return
Alitukana Mamba kabla hajavuka mto.Siasa za bongo sio sasa wanamuachaje jerry ata ukuu wa wilaya ajapewa
Prof J ana msemo wake: "kama unataka kujua umuhimu wa makalio, kalia kichwa"Alitukana Mamba kabla hajavuka mto.
Swadakta 100 %huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
\ mh! yani Telecomunication mpaka Uwakili?Anafanya sasa mitihani ili awe WAKILI
Cohort iliyopita
Nadhani kuna mitihani anahitaji airudie
Mkuu tusiishi kwa kukariri kuwa Jerry ndio the best.amsure kuna vichwa vikali sana tu ambavyo vilikuwa havijapata fursa.sasa wewe bakia unamuimba Jerry huku watu wanachapa kazi.AmaaaMimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa Meya wa Ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la Ukonga, swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa?Maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
Ana degree pia ya SHERIA\ mh! yani Telecomunication mpaka Uwakili?
au uwakili wa mifumo ya Simu na komputa
Sawa bwana Luwasahuyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
ha ha haSawa bwana Luwasa
wapi kwenye huo uzi jerry katajwa ni the bestMkuu tusiishi kwa kukariri kuwa Jerry ndio the best.amsure kuna vichwa vikali sana tu ambavyo vilikuwa havijapata fursa.sasa wewe bakia unamuimba Jerry huku watu wanachapa kazi.Amaaa