Realbest
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 812
- 299
JERRY NA MANARA WATHIBITISHA SOKA SIO UADUI JERRY NA MANARA WATHIBITISHA SOKA SIO UADUI | Mtembezi
Uadui mnapampiwa tu nyie mashabiki huko juu wenzenu wako sawa tu kila mtu anatetea ugali wakeMichezo yote si uadui ila ni utani na ushabiki tu. Jerry Muro alikuwa anajiona mno na kama si kibano cha TFF asingeweza kukutana na Hadji Manara. Ama kweli ajikwezae Mungu humteremsha.