Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

Huyu Jerry Muro, hajui kuwa huyo DC mpenda rushwa kimsingi anakubali kuwa hizo video ni zake japo anabisha kuwa kutoa rushwa si kosa!
 
Jerry Muro,

Du umetoa unga unga wa omo uliochanganywa na maji bure tu. Unakosea uchukuzi wa picha kwa ya public consumption kwa maana ya tv production na uchujuaji wa picha za siri kwa lengo la kupata taarifa ama ushahidi.

Lakini pia unapochukua picha kwa siri huwezi kukaa na kuanza kurekebisha kifaa chako eti ili upate sura, kumbuka anayerekodiwa hapaswi kufahamu, angle ya uchukuaji picha itategemea utaambiwa ukae wapi.


Kuhusu ubora wa sauti unategemea subject yupo mbali kiasi gani, sauti yake kubwa kiasi na ofcourse technolojia utumiayo kama ina noise suppression n.k

Kumbuka tena these are not proffessiinals ingekuwa wanafanya kwa ajili ya tv lazima wangekuwa na vifaa bora kama ulivyonavyo wewe na kama wangekua ndio field yao lazima wangekua na better version.

Kwa lugha lain umetoka mapovu bure kuanza kulinganisha upigaji picha kwa ajili ya tv na just evidence.

Kuhusu voice over ni rahisi sana kuijua angalia matendo, mchezo wa midomo na na sauti vikipisha unaweza kuleta hoja yako lakini nimejaribu kuangalia sijaona utofauti. Hivyo hoja zako ni mfu.

Kuna sheria inayomlinda mtoa taarifa unaikumbuka? Kuna aina ya samaki ubongo wake unaweza kukumbuka tukio sio zaidi ya sekunde sita, sitaki kukufananisha nae. Kikubwa umewaza kama dictator kusema utawaweka ndani, je ukija kugundua huo ushahidi una ukweli utafanya nini?
Jiulize kwa nini uliondolewa kwenye usemaji wa yanga, jibu rahisi ni kuongea pasipo kutumia au kushirikisha ubongo sawasaaw mapovu.com

Ni hayo tu kwa sasa

Brondby Strand
 
huyu muro kuna haja naye achunguzwe itakuwa kahongwa tu sio kwa maneno hayo
 
Picha na sauti viko very clea,labda zungumza jambo lingine, pia angalia kiwango cha simu yako
 
Muro mganga njaa tu huna lolote...unajua wazi nafsi inakusuta ila unachofanya ni kumfurahisha bwana wako!
 
Kijana mdogo namna hii kuwa na njaa kiasi hiki ni janga la karne, anyway tukujulishe tu kuwa sisi tumeielewa video, wewe endelea na njaa zako, Bagamoyo at work.
 
Come back where you belongs Jerry....ulikuwa na mwanzo mzuri sana brother lakini unakoelekea hapana!! Kwa mara ya kwanza binafsi nilikuona ATN.
 
Nadhani kwa hii akili ya Jerry Muro atakuwa amechangia sana kumzushia Manji mpaka akaanza kusumbuliwa.....maana amekaa yanga muda mrefu akiwa msemaji wao...ametoka manji anaanza kufuatwafuatwa...huyu kijana kujipendekeza huku hakuta msaidia kwa muda mrefu ktk maisha yake..anataka wenzake wapotezwe!! hayo mambo yao ya kupoteza watu yatakuja kuwarudia wajute.
 
Hivi huyo jerry muro ni nani?.....output yake ya kumfanya ajadiliwe hivi ni ipi?...Daah jamani tunaanza kujadili hata hawa watu wenye low profile kwenye jamiii.

Watu kama hawa ni kuwapuuza tuu...wanatutia njaa tuu kupoteza muda wetu kusoma mashudu yao....Sema the guy anajiamini aisee au amesign life contract na MUNGU hadi aweze kujudge nani na staili kuishi na nani hastaili!!!?
 
Naungana na mdau mmoja jana kwenye Uzi mwingine kumuhusu Jerry Mulo,alishauri CCM wampe wilaya mojawapo apunguze kuropoka
 
NIMEANGALIA VIDEO YA LEMA NA MWENZAKE, NA NIMESOMA MAELEZO YA MURO. MURO HAJAKOSEA ILA SISI WANAMAGEUZI TUNA SHIDA YA KUELEWA HARAKA. HATUNA UWEZO WA KUJIONGEZA, HAIINGII AKILINI USHAIDI WALIOSEMA WANAO MIMI BADO SIJAWAELEWA KAMA WANAO MWINGINE WAUTOE ILI SAIDI WANACHAMA WAO TUWAELEWE. RAKINI KWA MAINGIZO HAYA WANATUPA WAKATI MGUMU JAMII
 
Mkuu Murro najua njaa imekubana sana, ukizingatia yule DC kakupiga chini, na yule mama waziri 'kanyaga twende' nae kakumwaga. Zile pingu mkuu hazilipi au?
 
Jerry hata kama ukipiga domo kiasi gani, awamu hii watu wa kwenu ni nuksi. Cheo unachokipigania sahau na tumia akili kutafuta riziki.
 
Back
Top Bottom