Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

Jerry mwoneeni huruma hana kazi........ kwa Manji kapigwa chini............. ITV ndio kabisaaaa na mpk asubiri maonyesho ya 77 hapa kati atakula nini? naona hata mkewe keshachoka kulilisha jitu zima.............. Jerry nyanyuka katafute kazi hata ya kubeba mizigo bandari........... utaaibika hapa mjini au laaa rudi kule machame ukalime ndizi zina soko zuri sana Dar pale mabibo
 
Huyu jamaa usemaji Yanga umemshinda, analeta ghadhabu na hasira zake kwa kina Nassari na Lema, eti anataka wapotezwe.
Manara njoo uchukue mzigo wako unanjaa na hauwezi siasa.
Mahasira yote na povu lote hilo hana wadhifa, akipata si itakuwa shida
 
Jerry Muro ndiye aliyenifanya niache kui-support Yanga na kunifanya nisiwe na hamu na timu hii hadi leo!!

kitendo cha Yanga kumteua huyu chizi kama msemaji wa klabu kilinifanya niione Yanga ni timu ya ya wahuni flani hivi, na mimi si mhuni!!
 
Ukikamatwa na pingu huku umedai rushwa unapata uDC
Ukimpiga mzee wa watu kofi au kuiba simu ya Mheshimiwa unapata uRC
Ukiwa na maneno mengi vitendo sifuri unapata uMinister! Ukiwa na tuhuma kubwakubwa hutumbuliwi wala kuhojiwa!!!
Bora tuendelee kujipendekeza wakubwa wanaweza kutuona.
 
Back
Top Bottom